-
Iran yajiundia meli mbili mpya za kivita
Apr 30, 2022 23:45Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran linatazamiwa kupokea meli mbili za kivita ambazo zimeundwa kikamilifu hapa nchini.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kupanuliwa muqawama kote Palestina
Apr 30, 2022 06:59Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Ijumaa alihutubu kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo alitaja dalili kadhaa zenye kutia matumaini kuhusu mustakbali tofauti kwa maslahi ya wananchi wa Palestina ikiwemo kupanuliwa uwanja wa mapambano katika ardhi yote ya Palestina na mkabala wake, kudhoofika utawala ghasibu wa Kizayuni na muungaji wake mkono mkuu yaani Marekani.
-
Shamkhani: Sauti ya kuvunja mifupa ya Uzayuni imeanza kusikika
Apr 30, 2022 04:20Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: "Sauti ya kuvunjwa mifupa ya Uzayuni inasikika zaidi na zaidi kimataifa."
-
Mwangwi wa mandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran katika vyombo vya habari
Apr 30, 2022 03:48Vyombo vya habari vya Magharibi vimeripoti mahudhurio makubwa ya watu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika maandamano ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Quds, licha ya vikwazo vilivyosababishwa na mlipuko wa corona.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Palestina yote imekuwa uwanja wa mapambano, mipango ya kupatana na adui Mzayuni imebatilika
Apr 29, 2022 11:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema, Palestina nzima imekuwa uwanja wa mapambano, na kwamba mipango yote ya suluhu na kufanya mapatano na adui Mzayuni imebatilishwa.
-
Raisi: Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ni nembo ya mshikamano wa Umma wa Kiislamu
Apr 29, 2022 10:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesesisitiza leo katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa, maandamano hayo ni nembo ya umoja wa Umma wa Kislamu ambao hatimaye utapelekea kuangamia utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran: Kuna maafikiano juu ya kudumishwa mapambano ya kukomboa Palestina
Apr 29, 2022 10:42Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa wananchi wa Palestina wamesimama kidete na wameazimia kuikomboa Palestina yote kutoka Bahari ya Mediterania hadi Mto Jordan.
-
Rais Raisi: Harakati za Muqawama zinawazuia Wazayuni kuvuruga eneo
Apr 29, 2022 03:49Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameupongeza mhimili wa muqawama au mapambano ya Kiislamu kwa kuuzuia utawala wa Kizayuni kutekeleza uharibifu zaidi katika eneo kama walivyofanya magaidi wakufurishaji.
-
Kamanda wa IRGC: Siku ya Quds imeunganisha umma wa Kiislamu
Apr 29, 2022 03:47Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: "Siku ya Kimataifa ya Quds imeweza kuunganisha umma wa Kiislamu katika kuunga mkono malengo ya taifa la Palestina."
-
Maandamano ya Siku ya Quds kote Iran, Kiongozi Muadhamu kuhutubia umma
Apr 29, 2022 03:37Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yanafanyika kote nchini Iran ambapo idadi kubwa ya wananchi wamejitokeza kutangaza uungaji mkono wao kwa harakati za ukombozi wa Palestina sambama na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.