-
Spika Qalibaf: Kuunga mkono Palestina na Quds ni kipaumbele cha Iran
Apr 28, 2022 06:35Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuunga mkono Palestina na Quds ni miongoni mwa mambo yanayopewa kipaumbele na taifa hili la Kiislamu.
-
Ayatullah Jannati: Muqawama wa Palestina umeongeza chuki za walimwengu dhidi ya Wazayuni maghasibu
Apr 28, 2022 06:30Ayatullah Ahmad Jannati, Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria maadhimisho ya kesho ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kusema kuwa, maadhimisho haya na muqawama wa Palestina kila siku ni mambo ambayo yameongeza chuki za walimwengu kwa Wazayuni maghasibu.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa China mjini Tehran; ukurasa mpya katika uhusiano wa kiulinzi na kijeshi wa pande mbili
Apr 28, 2022 02:41Jenerali Wei Fenghe, Waziri wa Ulinzi wa China aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Brigedia Jenerali Mohammad Reza Gharaei Ashtiani, Waziri mwenzake wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Amoli Larijani: Siku ya Quds ni nembo ya muqawama wa Umma wa Kiislamu
Apr 28, 2022 02:38Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds ni nembo ya muqawama wa Umma wa Kiislamu.
-
Amir- Abdollahian: Utawala bandia wa Israel ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani
Apr 27, 2022 22:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika makala kwamba: Utawala bandia wa Israel ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani.
-
Rais wa Iran aipongeza Afrika Kusini kwa kuadhimisha Siku ya Taifa
Apr 27, 2022 22:20Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kwa mnasaba wa taifa hilo la Kiafrika kuadhimisha Siku ya Taifa.
-
Raisi: Maafisa wa ngazi za juu wa Iran na China wana nia ya kupanua uhusiano wa kimkakati.
Apr 27, 2022 08:46Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Waziri wa Ulinzi wa China kuwa: Viongozi wa ngazi za juu wa Tehran na Beijing wana nia ya dhati ya kupanua uhusiano wa kistratijia wa muda mrefu bila ya kujali matukio ya kimataifa.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuwa na uhusiano na Wazayuni ni kosa kubwa sana
Apr 27, 2022 05:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amegusia maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na ambayo kwa mwaka huu yanasadifiana na Ijumaa ya keshokutwa ya tarehe 29 Aprili, 2022 na kusema kuwa, kuwa na uhusiano na utawala huo dhalimu ni kosa kubwa sana.
-
Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds ni fursa mwafaka ya kutangaza kuwa pamoja na Wapalestina
Apr 26, 2022 23:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maadhimisho ya Siku ya Quds ni fursa ya kutangaza kuwa pamoja na wananchi madhulumu wa Palestina ambapo licha ya taifa hilo kudhulumiwa lakini limepata nguvu na kuwa imara.
-
Iran inaongoza eneo katika kuangamiza Malaria
Apr 26, 2022 06:32Mkurugenzi wa Kituo cha Magonjwa ya Kuambukiza katika Wizara ya Afya ya Iran amesema Iran ndiyo nchi iliyofanikiwa zaidi katika kuangamiza malaria katika ukanda wa Mediteranea Mashariki.