-
Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds ni fursa mwafaka ya kutangaza kuwa pamoja na Wapalestina
Apr 26, 2022 23:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maadhimisho ya Siku ya Quds ni fursa ya kutangaza kuwa pamoja na wananchi madhulumu wa Palestina ambapo licha ya taifa hilo kudhulumiwa lakini limepata nguvu na kuwa imara.
-
Iran inaongoza eneo katika kuangamiza Malaria
Apr 26, 2022 06:32Mkurugenzi wa Kituo cha Magonjwa ya Kuambukiza katika Wizara ya Afya ya Iran amesema Iran ndiyo nchi iliyofanikiwa zaidi katika kuangamiza malaria katika ukanda wa Mediteranea Mashariki.
-
Takht-Ravanchi: Sheria za kimataifa inabidi ziulinde Msikiti wa al Aqsa
Apr 26, 2022 03:14Balozi wa mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kuna wajibu wa sheria za kimataifa kuulinda Msikiti wa al Aqsa ili kuzuia kutokea maafa yenye madhara makubwa.
-
Iran: Kipaumbele chetu katika ulimwengu wa Kiislamu ni Palestina na kutokomea Israel
Apr 25, 2022 22:42Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kipaumbele cha Tehran katika ulimwengu wa Kiislamu ni Palestina na kutokomea utawala vamizi wa Israel.
-
Khatibzadeh: Mapumziko ya muda mrefu si kwa maslahi ya mazungumzo ya Vienna
Apr 25, 2022 07:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa: Iran na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuwa mapumziko ya muda mrefu si kwa maslahi ya mazungumzo ya Vienna.
-
Amali za usiku wa tatu wenye fadhila wa Laylatul Qadr zafanyika katika Iran ya Kiislamu
Apr 24, 2022 22:47Amali za usiku wa tatu mtukufu wa Laylatul Qadr zimefanyika katika pembe zote za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo umati mkubwa wa waumini umeshiriki ibada za usiku huu mtukufu huku waumini wakizingatia kanuni za kuzuia maambukizi ya corona.
-
Russia: Madai kuwa Iran imetuletea silaha ni uongo na ni propaganda za Wamagharibi
Apr 24, 2022 08:20Ubalozi wa Russia mjini Tehran umesema kuwa, uvumi ulioenezwa kwamba Iran imeipelekea silaha Russia ili izitumie katika vita vya Ukraine, ni uongo na ni propaganda tu za madola ya Magharibi.
-
Ordibehesht Pili; Siku ya kuadhimisha kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)
Apr 23, 2022 09:35Kamandi Kuu ya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya kumbukumbu ya kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na kusisitiza kuwa: Kung'ara jeshi hilo katika kupambana na fitna mbalimbali kumewaghadhibisha maadui.
-
Raisi: Hatima ya Palestina itaamuliwa kwa irada na azma ya Mujahidina
Apr 23, 2022 08:32Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Hii leo, hatima ya Palestina itaamuliwa kwa matakwa na irada ya Mujahidina.
-
Iran: Marekani iachane na siasa zake za kibeberu na kupenda makuu
Apr 23, 2022 02:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapaswa kuachana na siasa zake za kupenda makuu katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea mjini Vienna Austria na iyaangalie mazungumzo hayo katika uhalisia wake.