-
Mazungumzo ya Vienna; ufunguo wa makubaliano yoyote ni kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa la Iran
Jan 26, 2022 23:05Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi ameeleza kuwa, ufunguo wa mapatano yoyote ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya wananchi wa Iran.
-
Rais Raisi: Uhusiano wa Iran na Azerbaijan unatokana na imani za wananchi kwa misingi yao ya pamoja ya kidini
Jan 26, 2022 12:03Rais Ebrahim Raisi amesema, uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Azerbaijan unatokana na itikadi na imani za watu wa nchi mbili kwa misingi yao ya pamoja ya kidini.
-
Rais wa Iran: Endapo vikwazo vya kidhalimu vitaondolewa kuna uwezekano wa kufikiwa makubaliano
Jan 26, 2022 00:45Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo pande husika katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA zitakuwa tayari kuliondolea vikwazo vya kidhalimu taifa hili, basi kuna uwezekano wa kufikiwa aina yoyote ya makubaliano kamili.
-
Amir Abdollahian asisitiza kustawisha uhusiano na nchi za Kiafrika
Jan 25, 2022 11:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza suala la kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika na kustawishwa ushirikiano wa pande zote katika sekta mbalimbali kwa maslahi ya pamoja na nchi ya Togo.
-
Sisitizo la Rais wa Iran la kupanua uhusiano na majirani
Jan 25, 2022 09:01Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran imekuwa ikifuatilia suala la kuimarisha uhusiano wake na nchi jirani hasa zile za Waislamu.
-
Iran: Hatujaamua kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani
Jan 25, 2022 04:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijafikia uamuzi wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani.
-
Ebrahim Raisi: Iran inapigania kuwa na uhusiano bora na nchi jirani na za Waislamu
Jan 24, 2022 23:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran muda wote inalipa umuhimu mkubwa suala la kuimarisha uhusiano wake na nchi jirani hasa zile za Waislamu.
-
Rais Ebrahim Raisi: Uhusiano wa Iran na nchi za Afrika utaimarishwa zaidi
Jan 24, 2022 10:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo kuwa: Suala la kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za bara la Afrika litafuatiliwa kwa umakini na nguvu zaidi.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ishara za jamii inayofuata kigezo cha Fatima Zahra SA
Jan 24, 2022 08:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema huduma bila kujigamba na kwa ikhlasi kwa wanaohitaji ni moja ya ishara muhimu za jamii inayofuata kigezo cha Fatima Zahra SA.
-
Gharibabadi: Siasa za kupambana na ugaidi za Marekani hazijawa na natija yoyote ghairi ya kuuwa raia
Jan 24, 2022 04:45Kazem Gharibabadi Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu ambaye pia ni Mkuu wa masuala ya kimataifa wa Idara ya Mahakama ya Iran ameandika katika ukurasa wake wa twitter kwamba siasa za kupambana na ugaidi za Marekani hazijawa na natija yoyote ghairi ya kuuliwa raia na kubomolewa makazi yao.