-
Bagheri: Msingi wa mafanikio ya mazungumzo ya Vienna ni kufikia makubaliano ya kuondoa vikwazo
Dec 28, 2021 01:38Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema baada ya kikao cha jana usiku cha Kamisheni ya Pamoja huko Vienna kwamba, msingi wa mafanikio ya mazungumzo hayo ni kufikia makubaliano ya kuondolewa kikamilifu vikwazo dhidi ya Iran.
-
Khatibzadeh: Mauaji ya Jenerali Soleimani yalikuwa ni ugaidi wa kiserikali
Dec 27, 2021 10:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kitendo cha Marekani cha kumuua Luteni Jenerali Qassem Soleimani kilikuwa ni hujuma ya kigaidi na ugaidi wa kiserikali na ametaka wale wote waliohusika na jinai hiyo ya kinyama wapandishwe kizimbani.
-
Iran yasikitishwa na mauaji yaliyofanywa na magaidi Burkina Faso
Dec 27, 2021 09:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kufungamana na familia za raia wa Burkina Faso ambao waliuawa katika hujuma ya kigaidi hivi karibuni.
-
Duru ya 8 ya mazungumzo ya Vienna; haja ya Wamagharibi kuwa na mwenendo chanya
Dec 27, 2021 08:24Duru ya nane ya mazungumzo kati ya wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wanachama wa 4+1 kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran itaanza leo (Jumatatu) mjini Vienna.
-
Mkuu wa timu ya Iran awasili Vienna kwa mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran
Dec 27, 2021 04:01Mkuu wa timu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo yanayoendelea nchini Austria, amewasili mjini Vienna akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa Iran kwa ajili ya kushiriki katika awamu ya nane ya mazungumzo hayo yenye lengo la kuiondolea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ebrahim Raisi: Wasiotupendea kheri wanafanya njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na majirani zake
Dec 26, 2021 23:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wasiotupendekea kheri na mema, muda wote wanafanya njama za kuvuruga uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na majirani zake.
-
Brigedia Jenerali Hadian: Kikosi cha anga cha jeshi kitatoa jibu kali kwa kitisho chochote kile
Dec 26, 2021 09:16Naibu Kamanda wa kikosi cha anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa kikosi hicho cha jeshi kimejiweka tayari muda wote kuilinda nchi na kutoa jibu kali kwa kitisho cha aina yoyote ile.
-
Jibu la Iran kwa madai ya Uingereza; makombora ya Iran hayana uhusiano na azimio la UNSC
Dec 26, 2021 06:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu madai ya Uingereza kuwa eti hatua ya Iran kuvurumisha makombora ya balistiki katika mazoezi ya kijeshi ya Mtume Mtukufu SAW inakiuka azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: "Mpango wa makombora wa Iran hauhusiani hata kidogo na azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa."
-
Kikao cha Manaibu Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman chafanyika Tehran
Dec 26, 2021 04:37Duru ya nane ya kikao cha Kamati ya Pamoja ya mashauriano ya kistratejia kati ya Iran na Oman imefanyika hapa Tehran.
-
Duru ya 8 ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 4+1 kuanza kesho Jumatatu
Dec 25, 2021 23:06Duru ya 8 ya mazungumzo ya nyuklia ya Vienna ya Iran na kundi la 4+1 inatarajiwa kuanza Jumatatu ya kesho huko Vienna mji mkuu wa Austria.