-
Raisi: Luteka ya "Mtume Mtukufu 17" ni alama ya uwezo wa Iran wa kulinda maslahi na usalama wa taifa
Dec 25, 2021 10:03Rais Ebrahim Raisi amesema, chokochoko yoyote ya kiuhasama ya maadui itakabiliwa na jibu kali la vikosi vya ulinzi vya Iran.
-
Mazoezi ya kijeshi ya "Mtume Mtukufu 17", ujumbe mzito, halisi na wa kivitendo kwa utawala wa Kizayuni
Dec 25, 2021 06:03Mazoezi ya pamoja ya kijesi yaliyopewa jina la Mtume Mtukufu (SAW) 17, yaliyoanza Jumatatu iliyopita kwenye mwambao wa Ghuba ya Uajemi, Mlango-Bahari wa Hormuz na eneo la mikoa ya Hormozgan, Bushehr na Khuzestan, yalimalizika jana Ijumaa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran atuma salamu za Krismasi kwa Wakristo duniani
Dec 25, 2021 05:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewatumia salamu za kheri na fanaka Wakristo kote duniani hasa Wakristo Wairani kwa munasaba wa sikukuu ya Krismasi ya kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa Masih AS.
-
Iran: Mazoezi ya kijeshi ya Mtume Mtukufu SAW 17 yana ujumbe wa udugu kwa nchi jirani
Dec 25, 2021 05:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ujumbe wa mazoezi makubwa ya kijeshi ya Mtume Mtukufu SAW 17" ni udugu na usalama kwa nchi rafiki na jirani.
-
Iran yafanya majaribio ya makombora 16 ya balistiki kwa mafanikio
Dec 25, 2021 01:09Katika siku ya mwisho ya mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la "Mtume Mtukufu SAW 17", Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimevurumisha kwa pamoja makombora 16 ya balistiki ambayo yamelenga shabaha kwa mafanikio ya kiwango cha juu.
-
Abu Turabi Fard: Marekani na Israel zinavuruga amani Asia Magharibi
Dec 24, 2021 12:24Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, katika zama hizi za giza ambapo siasa za Marekani na mamluki wake zinachochea ukosefu wa usalama na machafuko katika eneo la Magharibi mwa Asia na dunia, mfumo wa Kiislamu wa Iran umeweza kuboresha pakubwa kiwango cha usalama katika eneo hilo.
-
Rais wa Iran awapongeza Wakristo maadhimisho ya kuzaliwa Nabii Issa Masih, asema ni fursa ya kukumbuka sira yake
Dec 24, 2021 09:20Katika ujumbe wake wa pongezi kwa Kingozi wa Kanisa Katoliki Duniani wa Wakristo wote kwa nasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa Nabii Issa (as), Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutaja kuzaliwa kwa Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu kuwa ni fursa ya kukumbuka ruwaza njema ya kuwapenda wanadamu na kutoa bishara njema kwa watu wanaodhulumiwa na kukandamizwa.
-
Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Iraq ni imara na amilifu katika nyuga zote
Dec 24, 2021 04:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhusiano wetu na Iraq ni imara na amilifu katika nyuga zote na kuna ushirikiano mkubwa baina ya nchi hizi mbili ndugu.
-
Ebrahim Raisi: Siasa kuu za Iran ni kuunga mkono utulivu na amani nchini Iraq
Dec 23, 2021 23:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, siasa kuu za Tehran ni kuunga mkono utulivu na usalama wa Iraq.
-
Amir-Abdollahian asisitiza kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq
Dec 23, 2021 09:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kikao cha pamoja na waandishi wa habari akiwa na mgeni wake Fuad Hussein, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iraq hapa mjini Tehran juu ya udharura wa kuondoka kikamilifu askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq.