-
Kiongozi Muadhamu atoa ujumbe wa hongera na pole kufuatia kufa shahidi balozi wa Iran nchini Yemen
Dec 23, 2021 04:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa hongera na pole kufuatia kuaga dunia kwa namna ya kufa shahidi Hasan Irlu, balozi mwanajihadi na mchapakazi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Yemen.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Azerbaijan
Dec 23, 2021 00:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na Rais Ilham Aliyev wa Azerbaijan wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu masuala ya pamoja yanayohusu nchi mbili.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa Malaysia na Ufilipino kufuatia maafa makubwa ya mafuriko
Dec 21, 2021 23:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu kwa wananchi na serikali za Malaysia na Ufilipino kutokana na maafa ya mafuriko yaliyozikumba nchi hizo mbili za kusini mashariki mwa Asia na kusababisha maafa makubwa ya roho na mali.
-
Brigedia Jenerali Qaani: Shahid Irlu alikuwa mtumishi wa wananchi wanaodhulumiwa wa Yemen
Dec 21, 2021 08:24Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, shahid Hasan Irlu, balozi wa Iran nchini Yemen ambaye amefariki dunia kwa ugonjwa wa corona, alikuwa mtumishi wa wananchi madhulumu na wanamuqawama wa Yemen.
-
Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya atoa onyo kali kwa Israel
Dec 20, 2021 09:26Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya (saw) ametoa onyo kali kwa upande wowote unaotoa vitisho dhidi ya vituo vya kuzalisha nishati ya nyuklia na jehi la Iran.
-
Khatibzadeh: Uhusiano wa Iran na IAEA ni wa kiufundi
Dec 20, 2021 09:22Uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ni wa kiufundi maadamu hautaingizwa kwenye masuala ya kisiasa, amesema msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran.
-
Iran na na Pakistan zasisitiza kustawisha uhusiano wa pande mbili
Dec 20, 2021 04:42Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo mjini Islamabad na Waziri Mkuu wa Pakistan ambapo wawili hao wamesisitiza juu ya kustawisha zaidi uhusiano wa nchi mbili hizi.
-
Abdollahian asisitiza msimamo wa Iran wa kuliunga mkono taifa la Palestina
Dec 20, 2021 01:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran itaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi pale mji mtakatifu wa Quds utakapombolewa na kuondoka katika makucha ya Wazayuni maghasibu.
-
Umoja wa Mataifa waipongeza Iran kwa kuwapa huduma wakimbizi
Dec 20, 2021 01:12Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNCHR) ameipongeza Iran kwa ukarimu wake mkubwa katika kuwapa huduma wakimbizi hasa wale waliodhulumiwa kutoka nchi jirani ya Afghanistan.
-
Takwa la China la kuondolewa vikwazo vya Iran
Dec 19, 2021 23:01Mwakilishi wa China katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ametaka kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Geng Shuang amesema Marekani imekosea katika kuanzisha mgogoro wa nyuklia wa Iran na kuitaka Washington iondoe vikwazo vyake vya upande mmoja ili kuandaa mazingira ya kurejea katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.