-
Iran: Amani endelevu itapatikana tu Afghanistan kwa kuundwa serikali shirikishi
Dec 19, 2021 09:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: amani endelevu na ya kudumu itaweza kupatikana tu nchini Afghanistan ikiwa itaundwa serikali shirikishi na itakayojumuisha pande zote.
-
Kikao cha nne cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA mjini Vienna; kukubaliwa rasimu mbili za mapendekezo ya Iran kama msingi wa mazungumzo yajayo
Dec 19, 2021 07:05Kikao cha nne cha Kamisheni ya pamoja ya mapatano ya JCPOA nje ya mazungumzo ya Vienna kimefanyika Ijumaa liyopita katika hoteli ya Coburg.
-
Momeni :Iran inashika rekodi ya dunia ya kukamata dawa za kulevya
Dec 19, 2021 04:48Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Mihadarati nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inashika rekodi ya dunia ya kukamata dawa za kulevya.
-
Iran yakosoa azimio la haki za binadamu lililoungwa mkono na Canada
Dec 18, 2021 09:39Afisa wa ngazi za juu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekosoa azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambalo lilipitishwa hivi karibuni kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran na kusema, azimio hilo ambalo limeungwa mkono na Canada, ni la kisiasa, na halijazingatia uhalisia wa mambo.
-
Mafanikio mazuri yamepatikana katika mazungumzo ya Vienna
Dec 17, 2021 23:28Kiongozi wa ujumbe wa Iran katika mazungumzo ya kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran huko Vienna amesema hatua nzuri zimepigwa na kuongeza kuwa, mazungumzo hayo yatasitishwa kwa siku kadhaa.
-
Iran yamuunga mkono mwalimu Muislamu Canada, yataka marufuku ya Hijabu iondolewe
Dec 17, 2021 23:19Afisa mwandamizi wa masuala ya haki za binadmau nchini Iran ameitaka serikali ya Canada ifute sheria ya kibaguzi ambayo imepelekea mwalimu Muislamu afutwe kazi kwa sababu tu alivaa vazi la Hijabu ndani ya darasa katika mkoa wa Quebec mashariki mwa nchi hiyo.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Msingi wa mazungumzo ya JCPOA ni kuondolewa vikwazo kwa mpigo
Dec 17, 2021 09:58Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa msingi wa mazungumzo ya nyuklia JCPOA yanayofanyika mjini Vienna ni kuondolewa kwa mpigo vikwazo ilivyowekewa Iran.
-
Amir Abdolahian na mwenzake wa China wapongeza mwenendo wa mazungumzo ya Vienna
Dec 17, 2021 04:34Hussein Amir Abdolahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran jana Alhamisi aliwasiliana kwa njia ya simu na na kufanya mazungumzo na mwenzake wa China, Wang Yi kuhusu uhusiano wa pande na kubadilishana mawazo juu ya mwenendo wa mazungumzo ya nyuklia ya Vienna na matukio ya kimataifa.
-
Iran: Nchi tatu za Ulaya kuweni na insafu kama mnataka kushirikiana nasi
Dec 15, 2021 23:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameziambia nchi tatu za Ulaya za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kwamba uungwana ni kuwa na insafu katika mambo yao.
-
Abdollahian: Utawala bandia wa Israel ni kiini na chimbuko la matatizo ya Asia Magharibi
Dec 15, 2021 10:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala bandia wa Kizayuni wa Israe ni kiini na matatizo ya eneo la Asia magharibi.