-
Khatibzadeh: Hatua zimepigwa katika mazungumzo ya Iran na IAEA
Dec 15, 2021 04:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amesema kuwa mafanikio yamepatikana katika mazungumzo kati ya Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na Muhammad Eslami, Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran.
-
Brigedia Jenerali Baqeri: Hatujaghafilika hata kwa sekunde moja kustawisha uwezo wa kiulinzi
Dec 14, 2021 08:16Kamanda wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, "hatujaghafilika hata kwa lahadha na sekunde moja kustawisha uwezo wa kiulinzi na nguvu za kijeshi za kuzuia hujuma dhidi ya nchi."
-
Khatibzadeh: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni adui nambari moja wa Umma wa Kiislamu
Dec 14, 2021 04:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran jana usiku alizungumzia safari ya sasa ya Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel huko Imarati na kusema kuwa, kitendo cha kumkaribisha waziri mkuu wa utawala haramu ambao ndiyo sababu ya machafuko, ukosefu wa amani na vita katika kipindi chote cha miaka 70 iliyopita katika jiografia ya nchi za Kiislamu na Kiarabu, kutasajiliwa katika kumbukumbu ya kihistoria ya taifa la Palestina, watu wa Ghuba ya Uajemi na wapigania uhuru kote duniani.
-
Iran: Majirani zetu ni kipaumbele kikuu na cha asili kwa Jamhuri ya Kiislamu
Dec 13, 2021 23:12Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, nchi jirani ni vipaumbele vikuu kwa Tehran.
-
Bagheri Kani: Mazungumzo ya JCPOA huko Vienna ni chanya na yanasonga mbele
Dec 13, 2021 09:59Mkuu wa Timu ya Iran katika mazungumzo na kundi la 4+1 amesema kuwa mazungumzo ya sasa huko Vienna ni chanya na yanaendelea vizuri.
-
Bagheri Kani: Hitilafu katika mazungumzo ya Vienna zimepungua
Dec 13, 2021 01:02Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesisitiza kuwa hitilafu zilizokuwepo katika mazungumzo ya Vienna zimepungua.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kubainisha haki na kweli mkabala wa riwaya iliyopotoshwa na uongo wa maadui
Dec 12, 2021 13:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo ameonana na wauguzi na familia za mashahidi waliokufa katika njia ya kutoa huduma za afya na ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kuzaliwa Bibi Zainab al Kubra SA ambayo hapa Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Wauguzi.
-
Kiongozi Muadhamu: Adui anapotosha; anambadilisha dhalimu kuwa madhlumu
Dec 12, 2021 08:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na wauguzi na familia za mashahidi waliokufa katika njia ya kutoa huduma za afya na kusisitiza kuwa, kama hamtautangaza ukweli wa mambo, basi adui atatumia vibaya fursa hiyo kueneza uongo na kumuweka dhalimu sehemu ya aliyedhulumiwa.
-
Paspoti za "mauti ya corona" zaenea na kutia wasiwasi nchini Ufaransa
Dec 12, 2021 08:05Soko moto moto la paspoti na vyeti bandia vya chanjo ya corona limeshamiri nchini Ufaransa kiasi cha kuwatia wasiwasi mkubwa viongozi wa nchi hiyo.
-
Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA katika mazungumzo ya Vienna
Dec 12, 2021 04:27Kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesema:"Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA"