-
Paspoti za "mauti ya corona" zaenea na kutia wasiwasi nchini Ufaransa
Dec 12, 2021 08:05Soko moto moto la paspoti na vyeti bandia vya chanjo ya corona limeshamiri nchini Ufaransa kiasi cha kuwatia wasiwasi mkubwa viongozi wa nchi hiyo.
-
Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA katika mazungumzo ya Vienna
Dec 12, 2021 04:27Kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesema:"Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA"
-
Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA katika mazungumzo ya Vienna
Dec 12, 2021 01:07Kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesema:"Iran haitakubali chochote isipokuwa JCPOA"
-
Sisitizo la Rais wa Iran kuhusu stratijia ya uhusiano mwema na majirani
Dec 11, 2021 08:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera za ujirani mwema na kuwa na uhusiano na majirani ili kusambaratisha vikwazo ni mkakati wa kistratijia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Iran ya leo ni nchi yenye nguvu zaidi Mashariki ya Kati
Dec 10, 2021 09:38Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa Iran ya leo ndiyo nchi yenye nguvu zaidi katika eneo la Magharibi mwa Asia, na iko katika nafasi ambayo hakuna nchi inayothubutu kuishambulia.
-
Abdollahian ayataka madola ya Magharibi yanayoshiriki mazungumzo ya nyuklia kutekeleza ahadi zao
Dec 10, 2021 01:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyahutubu madola ya Magharibi yanayoshiriki katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna Austria akiyaambia kwamba, umewadia wakati sasa wa kutekeleza kivitendo ahadi zao.
-
Iran: Tuna nia ya kutaka kufikiwa makubaliano katika mazungumzo ya JCPOA
Dec 09, 2021 10:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza tena leo kuwa, taifa hili linafuatilia ili kuhakikisha kwamba, kunapatikana makubaliano mazuri kupitia mazungumzo ya nyuklia ya Vienna Austria kati yake na kundii la 4+1.
-
Duru ya saba ya mazungumzo ya JCPOA kuendelea Vienna leo
Dec 09, 2021 04:46Mkutano wa Tume ya Pamoja ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) unatazamiwa kuendelea leo mjini Vienna, amedokeza Enrique Mora, Naibu Katibu Mkuu wa Idara ya Hatua za Huduma za Nje (EEAS) katika Umoja wa Ulaya.
-
Jeshi la Majini la Iran kupata meli tatu mpya za kivita
Dec 09, 2021 04:44Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jeshi hilo hivi karibuni litapokea meli tatu mpya za kivita ambazo ziktakuwa katika bahari za kaskazini na kusini mwa nchi.
-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Uturuki utaingia katika marhala mpya
Dec 09, 2021 01:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria umuhimu wa uhusiano wa kiuchumi na kibiashara wa Tehran na Ankara na kusema kuwa, kustawi kwa ushirikiano wa pande mbili kutaingia katika hatua mpya karibuni hivi, kwa kufanyika kongamano hapa Tehran.