-
Khatibzadeh: Kitendo cha Marekani cha kuiwekea vikwazo vipya Iran kinayasuta madai ya Washington ya kuwa na nia njema
Dec 08, 2021 04:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya kiuadui ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya Iran wakati huu wa kufanyika mazungumzo ya kuondolewa vikwazo vya kidhalimu ilivyowekewa Tehran, haiendani na madai ya Marekani ya kuwa na nia njema.
-
Shamkhani: Marekani inataka kulifufua kundi la ISIS
Dec 07, 2021 10:43Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Marekani ilighadhabishwa mno na kitendo cha kusambaratika kwa kundi la kigaidi la ISIS katika nchi za Syria na Iraq, na hivi sasa linafanya juu chini kulifufua genge hilo ili kuzusha mgogoro mpya katika eneo.
-
Hatua za Imarati za kuboresha uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Dec 07, 2021 04:32Jumatatu ya jana ya tarehe 6 Disemba, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) alifanya safari ya siku moja hapa mjini Tehran ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akiwemo Rais Sayyid Ibrahim Raeisi na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa.
-
Hossein Amir-Abdollahian: Marekani haiwezi kurejea kwenye mapatano ya JCPOA bila ya kuondoa vikwazo
Dec 07, 2021 04:30Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, hakuna njia yoyote ya kuiwezesha Marekani kurejea katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya kuondoa vikwao vyake vya kidhalimu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Raisi: Iran inaunga mkono usalama wa nchi za pambizoni mwa Ghuba ya Uajemi
Dec 06, 2021 23:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa usalama wa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi unafungamana na kwamba Iran inaunga mkono usalama wa nchi za pambizoni mwa Ghuba ya Uajemi.
-
Amir-Abdollahian: Jamhuri ya Kiislamu inataka kutekelezwa mapatano ya JCPOA
Dec 06, 2021 23:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari na mwenzake wa Syria kwamba, Iran haitaki lolote katika mazungumzo ya Vienna ghairi ya kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Dakta Ibrahim Raeisi: Syria ipo mstari wa mbele katika kupambana na Wazayuni
Dec 06, 2021 09:35Rais Ibrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Faisal Mekdad, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Syria na kusema kuwa, nchi hiyo ya Kiarabu ipo mstari wa mbele katika mapambano na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Shamkhani: Usalama na uthabiti wa Asia Magharibi utapatikana kwa kuweko ushirikiano wa kikanda
Dec 06, 2021 09:35Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa kuweko ushirikiano wa mataifa ya Asia Magharibi ni jambo la dharura na la lazima kwa ajili ya kupatikana amani na usalama wa eneo hili.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria mjini Tehran
Dec 06, 2021 05:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al Miqdad ambaye jana usiku aliwasili hapa mjini Tehran, leo Jumatatu, tarehe 6 Desemba amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian, ambapo wawili hao wamejadili na kubadilishana mawazo juu ya masuala mbali mbali yanayohusu pande mbili.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi lililoua raia 30 nchini Mali
Dec 06, 2021 04:25Msemaji wa wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, leo Jumatatu asubuhi amelaani shambulio la kigiaidi lililoua raia 30 katika mji wa Mopti, nchini Mali.