-
Kuuliwa shahidi mashujaa wa nyuklia; jinai dhidi ya binadamu na uvunjaji wa sheria za kimataifa
Nov 28, 2021 09:46Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Mhimili wa Mahakama wa Iran amesisitiza kuwa, mauaji ya kigaidi ya wanasayansi wa nyuklia ni jinai dhidi ya binadamu na ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Raisi: Uhusiano unaoimarika kati ya Iran na Tajikistan utaendelezwa kwa nguvu
Nov 28, 2021 08:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa uhusiano mwema kati ya Iran na Tajikistan utaendelezwa kwa nguvu zote katika nyanja za kibiashara, kiutamaduni na kiuchumi.
-
Mwakilishi wa WHO nchini Iran: Kupatiwa chanjo wakimbizi milioni 4 wa Kiafghani ni mafanikio makubwa kwa Iran
Nov 28, 2021 08:20Mwakilishi na Mkuu wa Ujumbe wa Shirika la Afya Dunini nchini Iran Dakta Jaffar Hussain amesisitiza kuwa wakimbizi milioni nne wa Kiafghani wanaoishi Iran wamepatiwa chanjo ya kujinga na mamabukizi ya UVIKO-19 bila ya kujali uraia na hadhi yao ya ukaazi; na hayo ni mafanikio makubwa kwa Iran.
-
Gharib Abadi: Mauaji ya kigaidi ya wataalamu wa nyuklia ni jinai dhidi ya binadamu
Nov 28, 2021 04:15Mkuu wa masuala ya kimataifa wa Mhimili wa Mahakama wa Iran amesisitiza kuwa, mauaji ya kigaidi ya wanasayansi wa nyuklia ni jinai dhidi ya binadamu na ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Tehran: Utawala wa Kizayuni ufikirie kwanza ukubwa wake kabla ya kufikiria kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran
Nov 27, 2021 11:11Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni unapaswa kufikiria ukubwa na udhaifu wake kwanza kabla ya kujipa uthubutu wa kutoa majigambo kuwa itashambulia taassi za nyuklia za Iran.
-
Muhammad Islami: Waliojitoa JCPOA hawana haki ya kuzungumzia miradi ya nyuklia ya Iran
Nov 27, 2021 04:33Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, waliojitoa katika makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA hawana haki ya kuzungumzia na kueleza mitazamo yao kuhusiana na miradi ya nyuklia ya Tehran.
-
Iran haitaki makubaliano ya muda, yataka vikwazo viondolewe kwa mkupuo
Nov 27, 2021 01:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, vikwazo vyote haramu vya Marekani dhidi ya taifa la Iran vinapaswa kuondolewa kwa mkupuo, na kwamba Tehran katu haitakubali 'makubaliano ya muda' kwenye mazungumzo ya Vienna ya kujadili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, yanayoanza ndani ya siku chache zijazo.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Nchi za Ulaya zisitoe mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni
Nov 26, 2021 07:49Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezinasihi nchi za Ulaya kutotoa mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa na malengo haramu ya watawala wa Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Kamalvandi: Shughuli za nyuklia za Iran zinafanyika kwa mujibu wa sheria
Nov 26, 2021 04:34Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema, shughuli zote za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu zinafanyika kulingana na sheria, lakini kuna baadhi wanaotafuta kila njia ili waituhumu Iran.
-
Khatibzadeh: Marekani na Troika ya Ulaya zinatoa taarifa za kilaghai na kiudanganyifu
Nov 26, 2021 00:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali mienendo isiyo ya sawa ambayo Wamagharibi wamekuwa wakionyesha sambamba na kukaribia kuanza mazungumzo ya Vienna ya kujadili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.