-
Iran yatoa majibu makali kwa bwabwaja mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 25, 2021 23:19Msimamiaji wa nafasi ya uwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Vienna Austria ametoa majibu makali kwa bwabwaja na upayukaji mpya wa mwakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yampongeza Katibu Mkuu mpya wa OIC kwa kuanza kazi rasmi
Nov 25, 2021 11:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi balozi Hussein Ibrahim Taha, Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Uushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa kuanza rasmi kazi yake na kueleza utayarifu wa Tehran kwa kushirikiana naye.
-
Amir Abdullahiyan: Inawezekana kufikia mapatano na Wakala wa IAEA
Nov 25, 2021 04:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema inawezekana kufikia mapatano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Iran yapinga madai yasiyo na msingi ya Bahrain
Nov 25, 2021 01:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa jibu kwa tamko la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain na kusema, madai yoyote ya wakuu wa Manama kuhusu kugundua silaha na mada za milipuko zinazohusishwa na Iran hayakubaliki.
-
Kiongozi Muadhamu: Mabasiji wanaweza kushiriki vilivyo katika utatuzi wa matatizo yote
Nov 24, 2021 04:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe wa maandishi kwa mnasaba wa Wiki ya Jeshi la Kujitolea la Basiji na kusema kuwa: Mabasiji mnapaswa kuwa watatuzi wa masuala yote ya nchi na ya taifa kwa kumtegemea na kutawakali kwa Mwenyezi Mungu, Mjuzi na Muweza wa kila siku.
-
Iran: Tunapambana kishujaa na magenge ya watenda jinai
Nov 24, 2021 04:01Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inafanya jitihada kubwa za kupambana na magenge yaliyojipanga vilivyo ya magendo ya binadamu na inaendesha mapambano hayo kishujaa licha ya kuwa chini ya vikwazo vya kidhalimu vya Marekani na kutoungwa mkono na jamii ya kimataifa.
-
Iran: Tuna nia ya kweli ya kushirikiana na wakala wa nyuklia wa IAEA
Nov 23, 2021 23:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ina nia ya kweli ya kushirikiana na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Meja Salami: Marekani imedhoofika
Nov 23, 2021 23:33Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: "Nguvu za Marekani zimedhoofika."
-
Raisi: Kuna udharura kwa jamii ya mwanadamu hii leo kumtilia maanani Mwenyezi Mungu na umaanawi
Nov 23, 2021 08:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kutoa mazingatio kwa Mola Muumba na suala la umanaawi ni jambo la udharura mkubwa hii leo kwa jamii ya mwanadamu.
-
Eslami: Iran imedhamiria kutekeleza miradi yake ya nyuklia
Nov 23, 2021 08:49Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kmataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuwa Iran imedhamiria kutekeleza miradi yake ya nyuklia.