-
Iran: Marekani haina chaguo jingine isipokuwa kukubali uhalisia wa mambo
Nov 23, 2021 04:03Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye anaongoza timu ya mazungumzo ya Jamhuri ya Kiislamu na kundi la 4+1 yatakayoanza Novemba 29 huko Vienna amesema kuwa, Marekani sharti ikubali hali halisi ya mambo kwa kufungamana na ahadi ilizotoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran yataja sababu ya kuenea uhalifu na ugaidi kote duniani
Nov 23, 2021 00:00Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema sababu kuu ya kuenea uhalifu na ugaidi katika maeneo mbalimbali ya dunia ni magendo na biashara haramu ya silaha nyepesi na ndogo.
-
Safari ya Grossi Tehran; sisitizo la ushirikiano baina ya Iran na IAEA katika nyanja mbalimbali
Nov 22, 2021 23:10Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) jana Jumatatu aliwasili hapa Tehran kwa lengo la kukutana na kufanya mazungumzo na Muhammad Eslami Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran na kuchunguza hali ya ushirikiano wa kiufundi wa pande mbili.
-
Iran yasikitishwa na hali mbaya ya wakimbizi wa Afghanistan
Nov 22, 2021 08:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza wasi wasi wake kuhusu hali mbaya inayowakabili wakimbizi wa Afghanistan.
-
Ubalozi wa Palestina Tehran walaani uhasama wa Uingereza dhidi ya Hamas
Nov 22, 2021 01:54Ubalozi wa Palestina mjini Tehran umetoa taarifa na kulaani vikali hatua ya Uingereza ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika orodha ya makundi ya 'kigaidi'.
-
Mkurugenzi wa wakala wa UN wa Atomiki kuitembelea Iran
Nov 22, 2021 01:52Mkurugenzi Mkuu wa Kimataifa Nishati ya Atomiki (IAEA) anatazamiwa kuwasili Tehran leo kwa lengo la kukutana na maafisa wa ngazi za juu wa Iran.
-
Jeshi la Majini la Iran limetoa vipigo 6 ndani ya miezi 18 dhidi ya Marekani
Nov 21, 2021 08:04Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema jeshi hilo la Iran limetoa pigo mara sita dhidi ya Wamarekani katika Ghuba ya Uajemi katika kipindi cha miezi 18 iliyopita.
-
Mabadilisho ya kibiashara ya Iran na nchi jirani yapindukia dola bilioni 28
Nov 20, 2021 23:33Msemaji wa Idara ya Forodha ya Iran amesema kuwa, mabadilishano ya kibiashara baina ya Iran na nchi jirani zake imefikia dola bilioni 28 na milioni 300.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran kwa kisingizio cha kuingilia uchaguzi
Nov 20, 2021 10:13Wizara ya Fedha ya Marekani juzi Alhamisi ilitangaza kuwa imeyaweka katika orodha yake ya vikwazo majina ya shakhsia sita na shirika moja la Iran kwa kisingizio cha kuingilia uchaguzi wa rais wa Marekani. Ofisi inayosimamia fedha ya taasisi hiyo ya Marekani imesema kuwa imeyaweka katika orodha yake ya vikwazo majina ya watu sita na taasisi moja ya Iran kwa kile ilichokitaja kuwa kujaribu kuathiri uchaguzi wa rais wa Marekani wa mwaka 2020.
-
Mwanadiplomasia: Lengo la Marekani kuasisi makundi ya kigaidi ni kudhamini usalama wa Israel
Nov 20, 2021 08:58Mwanadiplomasia wa zamani wa Iran amesema, lengo la Marekani la kuasisi makundi ya kigaidi katika eneo la Asia Magharibi hasa la DAESH (ISIS) ni kuvuruga uthabiti katika nchi zaWaislamu na kuzidhoofisha nchi zinazoupinga utawala wa Kizayuni kwa ajili ya kudhamini usalama wa utawala huo.