-
Iran yalaani mauaji na ukiukaji wa haki za binadamu unaondelezwa na Israel huko Gaza na Ukingo wa Magharibi
Nov 17, 2025 09:16Iran imelaani vikali mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina pamoja na ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.
-
Mahitaji ya dhahabu ya Iran yafikia tani 58 Jan–Sep, yashika nafasi ya tano duniani
Nov 17, 2025 09:12Iran imekuwa ni ya tano duniani kwa mahitaji ya dhahabu katika kipindi cha robo tatu za kwanza za mwaka huu, ikichochewa na ongezeko la uagizaji wa dhahabu ili kueneza akiba ya Benki Kuu ya taifa hili.
-
Araghchi: Iran lazima ijiimarishe ili kujilinda kwenye ‘Msitu’ ulioundwa na Marekani
Nov 17, 2025 03:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amekemea Marekani kwa kuchochea mashindano ya silaha duniani kupitia matumizi ya mabavu waziwazi na uvunjaji wa sheria za kimataifa, akisema hakuna njia nyingine ila kujiimarisha katika “msitu” ulioundwa na Washington.
-
Eslami: Nchi Tatu za Ulaya zinaendeleza mabavu dhidi ya Iran
Nov 17, 2025 02:47Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI), Mohammad Eslami, amesema kuwa Troika ya Ulaya inayojumuisha Ufaransa, Uingereza na Ujerumani inaendeleza mwenendo wa mabavu dhidi ya Iran na imeazimia kuchukua hatua zaidi za uchokozi kuhusu suala la nyuklia la kiraia.
-
Meja Jenerali Hatami: Hatujawahi kupoteza hata sekunde moja ya kuimarisha nguvu zetu za ulinzi
Nov 16, 2025 10:59Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema kuwa, Hatujawahi kupoteza hata sekunde moja katika kuimarisha nguvu za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu na tunajitahidi kwa dhati kuendelea kuboresha nguvu hizo.
-
Gharibabadi: Nchi 3 za Ulaya zimejiondoa zenyewe kwenye diplomasia na Iran
Nov 16, 2025 10:59Naibu Waziri wa Masuala ya Sheria na Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran leo amesema wakati akijibu swali kutoka kwa mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la Fars kwamba, Iran itaendelea kuonesha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kwa mujibu wa hatua zinazochukuliwa na Bodi ya Magavana ya wakala huo na kamwe haitofumbia macho haki yake ya kiimsingi ya kunufaika na teknolojia ya kisasa ya nyuklia.
-
Kutopendelea IAEA upande wowote; takwa kuu la Iran katika kadhia ya nyuklia
Nov 16, 2025 10:24Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuhusu ripoti ya Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA: "lazima ripoti kama hizo zibaki daima kuwa za kitaalamu, zinazotokana na ukweli halisi, na zisizoathiriwa na utashi wowote wa kisiasa".
-
Msemaji wa serikali ya Iran: Jibu kali zaidi linasubiri uvamizi wowote utakaokaririwa dhidi ya nchi hii
Nov 16, 2025 02:55Msemaji wa serikali ya Iran ameeleza kuwa Iran itatoa jibu kali zaidi na kwa nguvu kubwa" ikilinganishwa na wakati uliopita ikiwa itakabiliwa na na uchokozi mpya wa nchi ajinabi.
-
Watalii zaidi ya milioni 3 wa kigeni watembelea Iran katika muda wa miezi sita
Nov 16, 2025 02:29Waziri wa Turathi za Utamaduni na Utalii wa Iran ametangaza kuongezeka kwa idadi ya watalii wa kigeni wanaoingia na kutembelea Iran.
-
Kikosi cha Wanamaji cha IRGC chakamata meli ya mafuta kusini mwa Makran kwa kukiuka taratibu
Nov 15, 2025 13:05Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limekamata meli ya mafuta katika pwani ya kusini ya Makran baada ya kupokea amri ya mahakama.