-
Majeshi ya Iran yaapa kuwa Marekani na Israel zitaonja ladha chungu ya vipigo zaidi
Sep 22, 2026 03:31Makao Mkuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Makao Mkuu ya Kamandi ya Khatam al-Anbiya ya Majeshi ya Iran yameapa kulinda maslahi ya taifa, haki za wananchi, na uhuru wa ardhi ya nchi hiyo, yakisema kuwa vikosi vya ulinzi vitahakikisha kuwa Marekani, Israel, na washirika wao “wanaonja ladha chungu ya vipigo zaidi.”
-
IRGC: Ukianzishwa uchokozi mpya, jiografia ya vita na silaha itakazotumia Iran vitabadilika
Sep 21, 2026 10:35Shambulio lolote jipya dhidi ya Iran litasababisha mabadiliko makubwa katika jiografia ya vita na aina ya silaha zitakazotumika. Hayo yameelezwa na msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa Yakadhibisha Madai ya Marekani ya "Hitilafu ya Kioperesheni" katika Vita Dhidi ya Iran
Sep 21, 2026 05:42Umoja wa Mataifa umethibitisha katika ripoti iliyochapishwa karibuni kwamba Marekani ilifanya jinai za kivita wakati wa vita vyake vya kichokozi dhidi ya Iran.
-
Rais wa Iran kuelekea New York kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Sep 21, 2026 03:09Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, anatarajiwa kusafiri kwenda New York kuhudhuria kikao cha 81 cha Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki hii.
-
Ebrahim Azizi: Nchi za eneo zishirikiane na “Iran yenye nguvu”; chaguo la kujiondoa katika mkataba wa NPT liko mezani
Sep 21, 2026 02:59Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Iran amesisitiza kuwa, ni vyema nchi jirani za kusini mwa Ghuba ya Uajemi zikafahamu kwamba zinapaswa kushirikiana na kuratibu shughuli zao na Iran yenye nguvu.
-
Spika Qalibaf: Hormuz haitafunguliwa hadi pale Marekani itakapotimiza masharti ya Iran
Sep 20, 2026 14:01Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema, Mlango-Bahari wa Hormuz utaendelea kufungwa hadi pale Marekani itakapotambua haki za Jamhuri ya Kiislamu na kutimiza masharti yake iliyotoa kwa ajili ya kuhitimishwa vita.
-
Kituo kisicho halali kinachohusishwa na ubalozi wa Ufaransa mjini Tehran chafungwa
Sep 20, 2026 13:39Kituo kisicho halali kinachohusishwa na ubalozi wa Ufaransa, ambacho kilikuwa kikifanya shughuli zake kwa kisingizio cha kutoa mafunzo ya lugha, kimefungwa kwa amri ya Mwendesha Mashtaka wa Tehran.
-
Congress Yapinga Kuendelea Vita Dhidi Iran; Kupanuka Pengo Kati ya White House na Bunge
Sep 20, 2026 06:58Baraza la Wawakilishi la Marekani limepiga kura kwa mara ya tatu kuunga mkono kusitishwa vita dhidi ya Iran, kwa kupitisha mswada unaobana uwezo wa utawala wa Trump kuendeleza uchokozi wa kijeshi dhidi ya Iran bila idhini ya bunge la Congress.
-
Jenerali Rezaei: Msimamo wa nyuklia wa Iran hauajabadilika, lakini uwezekano wa kujiondoa katika NPT upo
Sep 20, 2026 04:34Afisa mkuu wa usalama wa Iran amesema kuwa nchi nchi hii inashikamana na sera yake ya kutozalisha silaha za nyuklia, akiongeza kuwa kujiondoa katika Mkataba wa Kutozalisha Silaha za Nyuklia (NPT) kunawezekana kama jibu kwa vitisho vya kijeshi na kisiasa kutoka kwa Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Araghchi: Uingiliaji wa kijeshi hauwezi kuleta usalama; kutumia mabavu hakuwezi kuleta amani
Sep 20, 2026 04:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema kuwa uingiliaji wa kijeshi hauwezi kuleta usalama, wala matumizi ya mabavu hayawezi kuleta amani. Araghchi amesisitiza haja ya kufanyika mabadiliko ya msingi kutoka katika sera za kijeshi na uingiliaji wa masuala ya nchi nyingine, kuelekea maendeleo endelevu, kuheshimu mamlaka ya kitaifa ya nchi, na kuimarisha amani ya kudumu.