-
Rais Rouhani: OIC inapaswa kuwa amilifu zaidi katika kadhia ya Palestina
May 13, 2021 07:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC kuwa amilifu zaidi na kutekeleza ipasavyo jukumu lake kuhusu kadhia ya Palestina na hasa katika matukio ya hivi sasa.
-
Maelfu wahudhuria Swala ya Idi katika miji mbalimbali ya Iran, Rais Rouhani awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu
May 13, 2021 03:40Maelfu ya Waislamu wa Iran leo wameshiriki katika Swala ya Idul Fitri kwa kuchunga sheria na taratibu za kuzuia maambukizi ya corona, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Zarif: Tunakaribisha kufanya kazi pamoja na Saudi Arabia
May 12, 2021 21:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inakaribisha ushirikiano na Saudi Arabia na ulimwengu mzima wa Kiarabu.
-
SEPAH: Tutaunga mkono kwa nguvu kubwa zaidi mapambano ya wananchi wa Palestina
May 12, 2021 21:44Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH limetoa tamko rasmi na kusisitiza kuwa, hivi sasa na kuendelea litaunga mkono mapambano na intifadha ya taifa la Palestina kwa nguvu kubwa zaidi kuliko huko nyuma.
-
Rais Rouhani: Wazayuni wauaji hawana uhusiano na dini yoyote ile
May 12, 2021 06:52Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wazayuni makatili na wauaji hawana uhusiano na dini yoyote ile.
-
Kiongozi Muadhamu apongeza mwamko, kusimama kidete na azma ya taifa la Palestina
May 12, 2021 05:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alasiri ya jana alihutubia mkutano wa wawakilishi wa jumuiya na asasi za wanachuo nchini uliofanyika kwa njia ya intaneti na kuelezea masikitiko yake makubwa kutokana na matukio mawili machungu mno ya umwagaji damu yaliyotokea karibuni katika Ulimwengu wa Kiislamu, huko Afghanistan na Palestina na kulaani jinai zilizofanyika katika nchi hizo.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Wazayuni hawafahamu chochote zaidi ya lugha ya mabavu
May 11, 2021 23:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, Wazayuni hawafahamu chochote zaidi ya lugha ya mabavu na akasisitiza kuwa, inapasa Wapalestina waongeze nguvu na muqawama wao ili kuwalazimisha watenda jinai hao wasalimu amri na kusimamisha hatua zao za kinyama.
-
Iran yazindua shehena ya kwanza kwa ajili ya matumizi rasmi, ya chanjo ya COV-Iran Barekat
May 11, 2021 07:18Mkuu wa Tume ya Utekelezaji Maagizo ya Imam Khomeini (MA) amesema, dozi milioni 30 za chanjo ya ugonjwa wa COVID-19 iliyotengenezwa na wataalamu wa Kiirani ya COV-Iran Barekat zitakuwa zikizalishwa kila mwezi hapa nchini.
-
Ghalibaf: Damu ya Shahid Soleimani imetoa msukumo wa mamia ya mara kwa muqawamaa
May 11, 2021 03:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, damu ya Shahid Qassem Soleimani imetoa msukumo wa mamia ya mara kwa muqawama katika kona mbalimbali za dunia.
-
Wanachuo wakusanyika mjini Tehran kulaani jinai za Wazayuni Ukanda wa Ghaza
May 11, 2021 03:15Kundi la wanafunzi wa Iran na wa kigeni wa Chuo Kikuu cha Tehran wamekusanyika mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa hapa Tehran, kulaani jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.