-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alaani hujuma ya Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
May 10, 2021 23:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amelaani vikali hujuma ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
-
Iran yaanza kuwasajili wagombea wa uchaguzi wa rais leo
May 10, 2021 22:21Usajili wa wagombea wa awamu ya 13 ya uchaguzi wa rais katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeanza leo Jumanne.
-
Sepah imelaani mauaji ya kigaidi Afghanistan, yasema ni njama ya Wamarekani
May 10, 2021 08:58Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) limelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga shule ya msingi ya Sayed Al-Shuhada mjini Kabul na kuitaja jinai hiyo kuwa ni njama ya Wamarekani ya kutaka kuhuisha ugaidi wa makundi ya kitakfiri na kuvuruga tena amani nchini Afghanistan.
-
Kufichuliwa mambo mapya kuhusiana na Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Soleimani
May 10, 2021 05:00Jumamosi usiku, tovuti ya habari ya Yahoo News iliandika makala na ndani yake ilitoa taarifa mpya kuhusu operesheni ya jinai ya kinyama iliyofanywa na jeshi la kigaidi la Marekani ya kumuua shahidi aliyekuwa kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, Luteni Jenerali Qassem Suleimani.
-
Mufti Mkuu wa Syria: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imekuwa ikiiunga mkono Palestina
May 10, 2021 03:20Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Ahmad Badreddin Hassoun amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imekuwa ikiliunga mkono kwa hali na mali taifa la Palestina.
-
Mustafa al-Kadhimi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaiunga mkono serikali ya Iraq
May 10, 2021 03:19Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, Wairani ni watu wa kutazama mambo kwa uhalisia wake na kwamba, juhudi zao zinalenga kuiunga mkono serikali ya Baghdad na wala hazina nia ya kuidhoofisha.
-
Velayati: Kadhia ya Palestina ni kipaumbele katika sera za kigeni za Iran
May 09, 2021 22:31Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu amesema kuwa, kadhia ya Palestina ingali maudhui muhimu na inayopewa kipaumbele katika sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Spika Qalibaf: Tunachofuatilia ni vikwazo vyote kuondolewa kikamilifu
May 09, 2021 08:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran inataka vikwazo vyote viondolewe kikamilifu.
-
Zarif aonesha hisia zake kufuatia miaka mitatu ya kujitoa Marekani katika JCPOA
May 09, 2021 01:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonesha hisia zake kufuatia miaka mitatu ya kujitoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba miaka mitatu iliyopita, kulizuka "kinyago cheusi" katika ahadi za Marekani ndani ya ndani ya azimio nambari 2231 na mapatano ya JCPOA baada ya Marekani kujitoa katika makubaliano hayo.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi lililoua 30 Afghanistan
May 08, 2021 22:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoa makumi ya watu katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.