-
Kamanda Salami: Tutamzika adui katika kaburi la historia
May 08, 2021 21:45Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema kuwa, Tehran haitaruhusu maadui kuharibu matunda na mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu na kwamba, adui atazikwa akiwa dhalili na hakiri katika kaburi la historia.
-
Khatibzadeh: Bwabwaja za Morocco dhidi ya Iran zimetolewa kwa maslahi ya Wazayuni
May 08, 2021 07:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madai yasiyo na msingi yaliyotolewa hivi karibuni na serikali ya Morocco dhidi ya Iran yametolewa kwa maslahi, mipango na njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Mustakbali bora wa Palestina utapatikana kwa muqawama na uungaji mkono wa wote
May 08, 2021 04:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Wazayuni wanaoikalia kwa mabavu Palestina, wameigeuza nchi hiyo kuwa kambi ya kigaidi tangu siku kwanza kabisa ya kuanza kuikalia kwa mabavu.
-
Iran yalaani hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
May 08, 2021 03:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa wakati Wapalestina walipokuwa katika eneo hilo takatifu kwa ajili ya ibada.
-
Kanani Chafi: Utawala wa Kizayuni ni mradi wa mabeberu wa kuwadhibiti Waarabu
May 07, 2021 23:38Mkuu wa Ofisi ya Kulinda Maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Misri amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni mradi wa madola ya kibeberu kwa ajili ya kuudhibiti ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu katika eneo muhimu na la kiistratijia la Asia Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu: Endelezeni mapambano halali dhidi ya utawala ghasibu, ulazimike kukubali kura ya maoni
May 07, 2021 09:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, harakati ya kuporomoka na kutoweka utawala wa Kizayuni imeanza na haitasimama; na akawahutubu Mujahidina wa Palestina kwa kuwaambia: "Endelezeni mapambano halali dhidi ya utawala ghasibu ulazimike kukubali kura ya maoni.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Siku ya Kimataifa ya Quds 1442 Hijria
May 07, 2021 08:58Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu. Himidi zote ni za Mwenyezi Mungu mlezi wa walimwengu na rehema na amani ziwe kwa mtukufu Muhammad (s.a.w.w), hitimisho la Mitume, mbora wa viumbe wote na Ali zake watoharifu na masahaba wote walio wema na kila aliowafuata kwa wema mpaka siku ya malipo.
-
Kurejea Wapalestina katika ardhi zao ndio suluhu ya kadhia ya Palestina
May 07, 2021 03:51Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua na kusimamia kazi za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu limesema kutimuliwa Wazayuni maghasibu na kurejea Wapalestina katika ardhi za mababu zao ndilo suluhisho pekee la mgogoro wa Palestina-Israel.
-
IRGC: Mienge ya Intifadha na Muqawama ya Palestina haitazimika
May 06, 2021 21:55Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa mienge ya Intifadha na Muqawama ya Palestina haitazimika.
-
Zarif: Palestina ni kipimo cha haki; Iran imesimama na Wapalestina kwa fahari
May 06, 2021 08:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Palestina ni kigezo na kipimo cha haki na uadilifu, lakini ni nchi chache zimeweza kupasi katika kipimo hicho.