-
Jenerali Salami: Pigo la kwanza kwa Israel, yumkini likawa la mwisho
May 06, 2021 08:17Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema wimbi la migogoro ya kiusalama lililoshuhudiwa katika siku za hivi karibuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) limeonesha wazi udhaifu na hatari inayoukabili utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ayatullah Larijani: Siku ya Quds ni dhihirisho la malengo ya taifa la Palestina
May 06, 2021 03:47Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds ni dhihirisho la malengo matukufu ya taifa la Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu kuhutubu katika Siku ya Kimataifa ya Quds
May 05, 2021 07:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu atahutubu kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Rais Rouhani: Iran imesambaratisha vikwazo
May 05, 2021 07:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo dhidi ya nchi hii vimesambaratishwa.
-
Mapambano yamezuia kusahaulika kadhia ya Quds
May 05, 2021 07:09Mkuu wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Quds Tukufu amesema Marekani ilijaribu kusambaratisha kadhia ya ukombozi wa Quds (Jerusalem) kupitia njama mpya katika eneo lakini imefeli kutokana na kuwepo mhimili wa muqawama au mapambano ya Kiislamu.
-
Iran: Mazungumzo ya Vienna yatasitishwa US ikiendelea kushupalia vikwazo
May 05, 2021 03:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mazungumzo ya Tehran na kundi la 4+1 yanayoendelea huko Vienna, Austria yatasimamishwa iwapo Marekani itaendelea kushupalia suala la kuwekewa vikwazo taifa hili.
-
Abdollahian: Iran ina stratejia maalumu ya kuwaunga mkono Wapalestina
May 05, 2021 03:02Mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Iran ina stratejia maalumu, thabiti na kabambe ya kuwaunga mkono na kuwasaidia wananchi wa Palestina.
-
Iran: Madai mapya ya wabunge wa Marekani yanalenga kuathiri mazungumzo ya JCPOA
May 04, 2021 07:22Mjumbe mmoja wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, msimamo mpya wa wabunge 220 wa Marekani kuhusu haki za binadamu nchini Iran unalenga kutoa taathira hasi kwa mazungumzo ya JCPOA.
-
Raisi: Shahidi Soleimani, chimbuko la ushindi mkabala wa maadui
May 03, 2021 21:04Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) alikuwa chanzo cha ushindi mtawalia dhidi ya maadui.
-
Mambo yanayoipa nguvu na uwezo Iran ya Kiislamu kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
May 03, 2021 08:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei jana Jumapili tarehe 3 Mei alihutubia taifa kupitia televisheni kwa mnasaba wa maadhimisho wa Siku ya Wafanyakazi na Siku ya Mwalimu, ambapo mbali na kuelezea mchango wa walimu na wafanyakazi wa viwandani katika ujenzi wa mustakabali mwema wa nchi, alibainisha pia nukta muhimu kadhaa kuhusu uchaguzi na vilevile mambo yanayoupa nguvu na uwezo Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.