-
Khatibzadeh: Msimamo wa Iran katika mazungumzo ya Vienna ni kuondolewa vikwazo vyote
May 03, 2021 07:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, msimamo thabiti wa Tehran katika mazungumzo na kundi la 4+1 ni kuondolewa kikamilifu vikwazo vyote vya Marekani dhidi ya taifa hili.
-
Amir-Abdollahian: Chokochoko za utawala wa Kizayuni lazima zitajibiwa
May 02, 2021 22:46Katibu Mkuu wa Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesisitiza kuwa, chokochoko na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel hazitoachwa vivi hivi bila ya kujibiwa.
-
Kiongozi Muadhamu: Kikosi cha Quds kizuizi kikubwa athirifu cha diplomasia legevu katika Asia Magharibi
May 02, 2021 12:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) ni sababu kubwa kabisa athirifu ya kuzuia diplomasia legevu na isiyo na irada katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran imeuza bidhaa zake za nano katika zaidi ya nchi 45
May 02, 2021 03:23Katibu wa Idara ya Taifa ya Ustawi wa Teknolojia ya Nano nchini Iran amesema hivi sasa bidhaa za teknolojia hiyo zilizotengenezwa Iran zinauzwa katika zaidi ya nchi 45 duniani.
-
Araqchi: Kumefikiwa mapatano ya kuondoa aghalabu ya vikwazo dhidi ya Iran
May 02, 2021 03:06Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kikao cha jana cha Tume ya Pamoja ya Mapatano ya Nyuklia ya JCPOA na kusema kikao hicho kimefikia mwafaka kuhusu kuondolewa Iran vikwazo.
-
Shehena kubwa zaidi ya chanjo ya COVID-19 yaingia Iran
May 02, 2021 03:00Shehena kubwa zaidi ya chanjo ya COVID-19 imeingia nchini Iran leo ikiwa ni katika jiithada za kuwapa chanjo wananchi wote.
-
Redio ya China: Marekani ndiyo inayofanya chokochoko dhidi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi
May 01, 2021 21:53Redio ya serikali na kimataifa ya China imeashiria harakati za jeshi la Marekani katika Ghuba ya Uajemi na kueleza kwamba, kinyume na madai ya Washington, Marekani ndiyo inayoendelea kufanya chokochoko hivi sasa dhidi ya Iran.
-
Kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kinaendelea tena Vienna Austria
May 01, 2021 03:37Kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) kinafanyika tena leo huko Vienna Austria.
-
Vaezi: Mazungumzo ya JCPOA mjini Vienna ni magumu lakini chanya
Apr 30, 2021 23:12Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mazungumzo ya mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA yanayoendelea Vienna Austria ni chanya na ya kurudhisha lakini ni magumu.
-
Safari ya Zarif katika nchi za eneo; ujumbe wa kudhamini usalama wa eneo kupitia mpango wa "Amani ya Hormuz"
Apr 30, 2021 22:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amefanya safari katika nchi za eneo hili la Ghuba ya Uajemi, ambapo kwa kuanzia alielekea Qatar na kisha akazitembelea Iraq, Oman na Kuwait; ajenda kuu ya mazungumzo yake na viongozi wa nchi hizo ikiwa ni kubadilishana mawazo kuhusu namna ya kustawisha uhusiano wa pande mbili, pamoja na kujenga ushirikiano wa pamoja wa kudhamini amani na usalama wa eneo hili.