-
Iran ina nafasi muhimu katika kudumisha usalama wa Ghuba ya Uajemi
Apr 30, 2021 06:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina nafasi muhimu katika kudumisha usalama katika eneo zima la Ghuba ya Uajemi. Hayo yamesemwa na Shahriar Heidari Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iran.
-
Spray ya kwanza ya kupambana na corona ya Iran, yazinduliwa rasmi
Apr 29, 2021 22:47Sherehe za kuzinduliwa rasmi spray ya kwanza ya kupambana na kirusi cha corona, ya Kiirani, zilifanyika jana Alkhamisi katika Hospitali ya Masih Daneshvari hapa jijini Tehran.
-
Iran: Chokochoko za Wazayuni haziwezi kuachwa zipite vivi hivi bila ya majibu
Apr 29, 2021 22:46Katibu Mkuu wa Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesisitiza kuwa, chokochoko za Wazayuni haziwezi kuachwa zipite vivi hivi bila ya majibu.
-
Imarati yaunga mkono msimamo mpya wa Saudia kuhusu Iran
Apr 29, 2021 22:42Mrithi wa kiti cha ufalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ameelezea kufurahishwa kwake na msimamo mpya wa Mohammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu kuwa na uhusiano mzuri na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif akosoa siasa za kindumakuwli na kibaguzi za Ufaransa
Apr 29, 2021 05:24Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhurii ya Kiislamu ya Iran amezungumzia majaribio ya makombora yaliyofanywa na Ufaransa na juhudi za Paris na baadhi ya nchi za Magharibi za kutaka kubana miradi ya kutengeneza makombora ya Iran na kuandika kuwa; Inaonekana kuwa, siasa za kibaguzi na kindumakuwili ni jambo linalowezekana.
-
Jenerali Salami: Kikosi cha Quds kimevuruga dira ya maadui
Apr 28, 2021 22:01Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema Kikosi cha Quds cha Jeshi la SEPAH kimevuruga na kusambaratisha dira, maono na nguvu za madola ya kiistikbari kwa kuimarisha uwezo wake wa kujihami na kushambulia.
-
Rouhani: Shahidi Soleimani alisambaratisha njama za Wazayuni na Marekani katika eneo
Apr 28, 2021 07:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani alisambaratisha njama za Wazayuni na Marekani katika eneo na alikuwa mshauri bora zaidi katika sera za kigeni katika eneo.
-
Mazungumzo ya Vienna, maendeleo na changamoto zake
Apr 28, 2021 05:35Katika fremu ya utekelezaji wa hatua za kistratijia kwa ajili ya kufuta vikwazo vya kidhalimu na kulinda maslahi ya taifa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilichukua hatua za kulipiza kisasi ikijibu hatua ya Marekani na kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile hatua ya nchi za Ulaya ya kutotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa makubaliano hayo.
-
Spika wa Bunge: Kuwepo wanajeshi wa kigeni katika eneo ni tishio na kunavuruga amani
Apr 28, 2021 03:38Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwepo askari wa majeshi ya kigeni na wa nje ya eneo ni tishio na kunavuruga amani ya eneo.
-
Araqchi: Majopokazi mawili ya nyuklia na uondoaji vikwazo yataanza kuandaa makubaliano
Apr 27, 2021 23:14Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshugulikia masuala ya kisiasa Sayyid Abbas Araqchi amesema, kuna changamoto kubwa katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna, pamoja na hayo amebainisha kuwa, majopokazi mawili ya nyuklia na uondoaji vikwazo yatahusika na uandaaji wa makubaliano.