-
Rais Rouhani asisitiza haja ya kuimarishwa uhusiano wa Iran na Afrika Kusini
Apr 27, 2021 08:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo suala la kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa taifa hili na Afrika Kusini katika nyuga anuai.
-
Iran yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, kirusi cha Afrika Kusini charipotiwa nchini
Apr 27, 2021 08:35Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweka rekodi mpya ya vifo vya Covid-19 baada ya watu 462 kufariki dunia kwa ugonjwa huo hapa nchini katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Safari ya Dakta Zarif nchini Iraq; udharura wa kupanuliwa ushirikiano wa pande mbili na wa kieneo
Apr 27, 2021 05:36Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu ya jana tarehe 26 Aprili aliwasili Baghdad mji mkuu wa Iraq ikiwa ni mwendelezo wa safari yake ya kieneo.
-
Kamanda Salami: Kitendo chochote cha kishetani cha Israel kitapewa jibu kali na mwafaka
Apr 26, 2021 23:50Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) amesema kuwa, harakati za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Magharibi mwa Asia zitakuwa na matokeo kinyume na ilivyokusudiwa na Iran itajibu kitendo chochote cha kishetani cha Israel katika daraja hiyo hiyo lakini kwa nguvu kubwa zaidi.
-
Iran inapanga kuwawekea vikwazo maafisa wa Umoja wa Ulaya
Apr 26, 2021 06:33Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetayarisha orodha ya maafisa wa Umoja wa Ulaya ambao itawawekea vikwazo.
-
Namaki: Iran imepata moja ya chanjo bora zaidi za corona duniani
Apr 26, 2021 06:29Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran hivi sasa imeweza kupata moja kati ya chanjo bora na yenye uwezo zaidi ya corona au COVID-19 duniani. Amesema chanjo hiyo imetengenezwa katika Taasisi ya Pasteur ya Iran.
-
Iran yatangaza iko tayari kuisaidia India kupambana na wimbi kubwa la COVID-19
Apr 25, 2021 22:00Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuisaidia India kupambana na wimbi kubwa la ugonjwa wa corona au COVID-19.
-
Zarif: Vita dhidi ya janga la kimataifa la corona vinahitajia ushirikiano wa dunia nzima
Apr 25, 2021 06:42Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesem kuwa, kukomeshwa kwa janga la kimataifa la virusi vya corona kunahitajia ushirikiano wa diunia nzima.
-
Zarif: Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani umezuia utoaji chanjo za corona duniani
Apr 25, 2021 02:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera ya vikwazo na ugaidi wa kimatibabu ya Marekani imepelekea kutofanikiwa kampeni ya utoaji chanjo za kupambana na corona duniani.
-
Iran yalaani hujuma za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Quds tukufu
Apr 25, 2021 01:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali uvamizi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.