-
Zarif: Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani umezuia utoaji chanjo za corona duniani
Apr 25, 2021 02:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera ya vikwazo na ugaidi wa kimatibabu ya Marekani imepelekea kutofanikiwa kampeni ya utoaji chanjo za kupambana na corona duniani.
-
Iran yalaani hujuma za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Quds tukufu
Apr 25, 2021 01:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali uvamizi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Rais Rouhani: Chanjo ya Covid-19 itatolewa kwa wananchi wote bila ya malipo
Apr 24, 2021 08:41Rais Hassan Rouhani amesema, chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 itatolewa kwa wananchi wote bila ya malipo na amesisitiza kwamba, kuna ulazima wa kuwachukulia hatua watu wasiozingatia miiko ya marufuku zilizowekwa.
-
Chanjo ya corona ya Iran iko hatua za mwisho, chanjo kwa umma kuanza kutolewa mwezi ujao
Apr 24, 2021 03:17Mkurugenzi wa timu ya utafiti na uzalishaji wa chanjo ya COVIRAN BAREKAT amesema kuwa, uzalishaji wa chanjo hiyo ya corona ya Kiirani uko katika hatua zake za mwisho.
-
Iran: Mbinu tunayotumia katika urutubishaji urani kwa asilimia 60, tuliipanga kabla
Apr 23, 2021 03:05Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomoki IAEA ametoa ufafanuzi kuhusu ripoti mpya ya wakala huo akisema, mabadiliko katika mbinu ya urutibishaji wa urani ya Iran kwa asilimia 60 yamefanyika kulingana na mpango uliowekwa tangu zamani.
-
Kamanda Fallahzadeh: Vikosi vya muqawama vipo karibu na kambi za Israel kote duniani
Apr 22, 2021 22:11Naibu Kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ametahadharisha kuwa, vikosi vya muqawama vipo karibu sana na kambi za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Mwanachuo wa kike wa Iran atunukiwa tuzo katika Shindano la Ubinifu Afrika
Apr 22, 2021 22:01Mwanafunzi wa kike wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametunukiwa medali mbili tofauti katika Shindano la Ubunifu Afrika la mwaka huu 2021.
-
Rouhani: Iran haiwezi kusitisha ustawi wake kutokana na vikwazo au mashinikizo
Apr 22, 2021 06:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran haiwezi kusitisha mchakato wake wa ustawi kutokana na vikwazo na mashinikizo.
-
IAEA yathibitisha: Iran imeanza kufunga mashinepewa za kisasa Natanz
Apr 22, 2021 03:23Vyombo vya habari vya Marekani mapema leo Alkhamisi vimewanukuu maafisa wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) wakithibitisha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeutaarifu wakala huo kwamba itafunga mashinepewa za kisasa katika taasisi ya kurutubisha madini ya urani ya Natanz.
-
Rouhani: Taifa la Iran linajivunia vikosi vyake vya ulinzi
Apr 21, 2021 23:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Artesh) na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ni vikosi vya ulinzi ambavyo daima vimekuwa katika medani. Ameongeza kuwa, taifa la Iran linajivunia jitihada na kujitolea muhanga kwa vikosi hivyo vya ulinzi katika kipindi cha miaka 42 iliyopita.