-
Mgombea katika uchaguzi wa rais Iran: Uwezo wa kujihami Iran umepelekea Marekani irudi nyuma
Apr 21, 2021 23:21Mgombea urais wa Jamuri ya Kiislamu ya Iran unaofanyika mwaka huu wa 2021 amesema: "Uwezo wa kujihami wa Iran ndio sababu ambayo imepelekea Marekani irudi nyuma katika sera zake ghalati.
-
Marekani yakiri kuhusu nguvu ya Iran ya ndege zake zisizo na rubani (droni)
Apr 21, 2021 22:22Jenerali Kenneth McKenzie, Kamanda wa Kamandi Kuu ya askari wa kigaidi wa Marekani CENTCOM, amekiri kwamba nguvu ya droni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepunguza na kudhoofisha pakubwa uwezo wa anga wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Rais Rouhani: Usalama ni wasiwasi wa pamoja wa nchi mbili za Iran na Pakistan
Apr 21, 2021 07:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kudhaminiwa amani na uthabiti wa eneo kupitia mikakati ya kieneo, kudhaminiwa usalama wa mipaka ya Iran na Pakistan na kueleza kwamba, usalama ni wasiwasi wa pamoja wa nchi mbili hizi jirani, hivyo kuna haja ya kuimarishwa zaidi ushirikiano katika uwanja huo.
-
Iran haitaruhusu mazungumzo ya Vienna kuhusu JCPOA yawe marefu kupita kiasi
Apr 21, 2021 03:02Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema Jamhuri ya Kiislamu haitamruhusu yeyote ayageuze mazungumzo ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanayofanyika huko Vienna, mji mkuu wa Austria kuwa marefu kupita kiasi na yasiyo na kikomo.
-
Rabie: Iran haitalegeza msimamo katika mapatano ya JCPOA
Apr 20, 2021 22:03Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msmamo zaidi ya yale yaliyomo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA yaliyofikiwa mwaka 2015 baina ya Iran na madola makubwa duniani.
-
Safari ya Dakta Zarif mjini Jakarta; sisitizo la kustawishwa uhusiano wa Iran na Indonesia
Apr 20, 2021 21:54Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo huko Jakarta mji mkuu wa Indonea na viongozi mbalimbali wa nchi hiyo na kujadiliana nao kuhusiana na uhusiano wa pande mbili, masuala ya kieneo na kimataifa.
-
Rouhani: Iran inapanga kuzindua mchakato mpana wa chanjo ya COVID-19
Apr 20, 2021 06:12Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema serikali ina mpango wa kuzindua mpango mkubwa wa chanjo ya COVID-19 au corona ili kulinda afya ya watu wote.
-
Rais Rouhani: Iran imesimama kidete mbele ya mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani
Apr 19, 2021 20:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa la Iran limesimama kidete mbele ya mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani.
-
Mkutano wa kwanza wa mashirika ya Iran na Kenya katika sekta ya TEHAMA
Apr 19, 2021 20:32Mkutano wa kwanza wa mashirika ya Kenya na Iran katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) umefanyika kwa njia ya intaneti.
-
Namaki: Asilimia 80 ya chanjo ya corona imetolewa katika nchi 10 tajiri duniani tu
Apr 19, 2021 08:00Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mesema kuwa, karibu asilimia 80 ya chanjo ya virusi vya corona imetolewa katika nchi 10 tu tajrii duniani na kwamba, hadi sasa nchi 18 zenye kipato cha chini hadi kati hazijapokea chanjo hiyo.