-
Rouhani: Urutubishaji urani hadi asilimia 60 ni jibu kwa shari
Apr 14, 2021 22:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa urutubishaji wa madini ya urani kwa kiwango cha asilimia 60 ni jibu kwa vitendo vya shari vya maadui.
-
Kimya cha IAEA baada ya uharibifu uliofanywa katika taasisi ya nyuklia ya Iran
Apr 14, 2021 21:55Hujuma ya uharibifu iliyofanywa na Israel katika taasisi ya nishati ya nyuklia ya Natanz nchini Iran siku ya Jumapili iliyopita, kwa mara nyingine tena imeleta udharura wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kama taasisi kuu zaidi ya kimataifa inayosimamia shughuli za nyuklia dunia, kutoa jibu na kueleza wazi msimamo wake.
-
Kiongozi Muadhamu: Sera za Iran kuhusu JCPOA ziko wazi
Apr 14, 2021 12:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vikwazo na kusema sera za Iran ziko wazi kuhusu JCPOA na vikwazo. Ameongeza kuwa sera hizo amezibainisha wazi kwa wakuu wa nchi kupitia maandishi na katika mikutano.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kwenda sambamba na Washington na Tel Aviv
Apr 14, 2021 08:18Baraza la Umoja wa Ulaya Jumatatu tarehe 12 mwezi huu wa Aprili liliwajumuisha maafisa 8 na taasisi 3 katika ordha ya vikwazo dhidi ya Iran kwa kisingizio cha eti kukiuka haki za binadamu. Aidha baraza hilo limechukua uamuzi wa kurefusha hatua zake dhidi ya Iran hadi tarehe 13 mwezi Aprili mwaka kesho kwa kisingizio cha kile ilichokitaja kuwa ukiukaji wa haki za binzdamu.
-
Spika wa Bunge la Iran: Mwezi wa Ramadhani ni fursa ya kuimarisha mshikamano wa Umma wa Kiislamu
Apr 14, 2021 07:00Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametuma ujumbe wa salamu za pongezi, kheri na baraka kwa Maspika wa Mabunge ya nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mfungo wa mwezi mtukuufu wa Ramadhani.
-
Rouhani: Kuwepo Wazayuni katika kanda ya Asia Magharibi ni hatari kubwa
Apr 14, 2021 03:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuwepo utawala wa Kizayuni wa Israel katika kanda hii ya Magharibi mwa Asia ni hatarii kubwa.
-
Iran yaanza operesheni ya kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa asilimia 60
Apr 13, 2021 22:47Msemaji wa Shirika la Atomiki la Iran amestangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu imeutumia barua Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ikiujulisha kuwa inaanza operesheni ya kuzalisha madini ya urani yaliyorutubishwa kwa asilimia 60.
-
Zarif: Ulaya haina hadhi wala nafasi ya kuwawekea vikwazo viongozi wa Iran
Apr 13, 2021 07:08Akijibu hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuwawekea vikwazo viongozi na taasisi kadhaa za Iran Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Ulaya haina hadhi wala nafasi ya kuwawekea vikwazo viongozi wa Kiirani.
-
Safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia mjini Tehran; sisitizo la azma ya pamoja ya kupanua ushirikiano wa kistratejia
Apr 13, 2021 06:15Sergey Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia Jumannae ya leo Aprili 13 amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Dakta Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo wawili hao wamejadili na kuzungumzia masuala muhimu ya pande mbili, kieneo na kimataifa.
-
Chanjo ya Corona ya Barekat kuanza kuzalishwa kwa wingi nchini Iran wiki ijayo
Apr 13, 2021 03:24Mwenyekiti wa Ofisi Kuu ya Kutekeleza Maagizo ya Imam Khomeini amesema Wakfu wa Barekat wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utaanza kuzalisha kwa wingi chanjo ya kukabiliana na virusi vya Corona ya 'COVIran Barekat' kuanzia wiki ijayo Aprili 21.