-
Iran yawapongeza Waislamu kwa kuwadia mwezi wa Ramadhani
Apr 13, 2021 02:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza na kuwatakia Waislamu wote duniani kheri na baraka kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Zarif: Kukishambulia kituo cha nyuklia cha Iran ni jinai ya kivita
Apr 13, 2021 02:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kitendo cha Jumapili alfajiri cha kushambuliwa kwa makusudi mfumo wa usambazaji umeme wa kituo cha urutubishaji urani cha kituo cha nyuklia cha Natanz hapa nchini ni jinai ya kivita.
-
Iran yasitisha mazungomzo kamili na Umoja wa Ulaya
Apr 12, 2021 23:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikwazo ambavyo Umoja wa Ulaya (EU) umeweka dhidi ya baadhi ya taasisi na maafisa wa Iran. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Saeed Khatibzadeh amesema kufuatia vikwazo hivyo, Iran inasitisha kwa muda mazungumzo yake kamili na Umoja wa Ulaya yakiwemo yale yanahohusu haki za binadamu.
-
Jerusalem Post: Shambulizi dhidi ya Natanz lilipangwa hapo awali
Apr 12, 2021 07:02Gazeti la utawala wa Kizayuni la Jerusalem Post limeandika kuwa, hujuma dhidi ya taasisi ya nyuklia ya Natanz nchini Iran lilipangwa siku nyingi zilizopita kabla ya kuanza mazungumzo ya sasa huko Vienna baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za kundi la 4+1.
-
Tukio la Natanz; udharura wa jamii ya kimataifa na IAEA kukabiliana na ugaidi wa kinyuklia
Apr 12, 2021 06:55Jumapili alfajiri kulijiri tukio la kigaidi katika mfumo wa usambazaji umeme wa kituo cha urutubishaji urani cha Natanz hapa nchini.
-
Khatibzadeh: Iran italipiza kisasi kwa uharibifu wa Israel huko Natanz
Apr 12, 2021 06:05Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran italipiza kisasi kwa wakati mwafaka kutokana na uharibifu uliofanywa na Israel katika kituo cha nyuklia ya Natanz.
-
Safari ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu nchini Iraq
Apr 11, 2021 06:57Dini ya Uislamu imeiweka njia ya uokovu na ufanisi wa mwanadamu hapa duniani na huko Akhera katika mshikamano na kutupilia mbali hitilafu na mifarakano.
-
Khatibzadeh: Marekani haiwezi kuwa na machaguo mawili kwa wakati mmoja
Apr 10, 2021 23:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisisitiza kuwa, Marekani haiwezi kuwa na machaguo mawili kwa wakati mmoja.
-
Rouhani: JCPOA imeipa uhalali sekta ya nyuklia ya Iran
Apr 10, 2021 08:03Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kupasishwa kwa makubaliano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA kuliipa uhalali kamili wa kisheria sekta ya nyuklia ya taifa hili.
-
Iran yazindua mafanikio 133 katika Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia
Apr 10, 2021 08:01Mafanikio 133 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa teknolojia ya nyuklia yamezinduliwa leo katika sherehe maalumu zilizofanyika kwa njia ya video kwa mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia.