-
Mazungumzo ya Vienna: Njia pekee ya kunusuru mapatano ya JCPOA ni kuondoa vikwazo vyote
Apr 10, 2021 06:40Kikao cha Pili cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kimemalizika huko Vienna na pande mbili ziimeafikiana kuendeleza mazungumzo hayo mahsusi kwa lengo la kuandaa faharasa ya hatua zinazopaswa kuchukuliwa kuodoa vikwazo na pia kujadili miradi ya nyuklia ya Iran kwa lengo la kuhuisha mapatano hayo.
-
Iran: Kuchelewa kutuondolea vikwazo ni kwa maslahi ya mradi wetu wa nyuklia
Apr 10, 2021 03:33Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuchelewesha kuliondolea taifa hili vikwazo ni kwa maslahi ya mradi wa nyuklia wenye malengo ya amani wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Meja Jenerali Salami: Iran iko tayari kukabiliana na vitisho vya adui
Apr 10, 2021 03:30Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema vikosi vya ulinzi vya Iran vimejiandaa na vipo tayari kukabiliana na vitisho na chokochoko za maadui.
-
Zarif: Vikwazo vyote vya serikali ya Trump dhidi ya Iran vinapaswa kuondolewa
Apr 09, 2021 09:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesisitiza udharura wa kuondolewa vikwazo vyote viilivyowekwa na Marekani dhidi ya Iran.
-
Rouhani: Kuimarisha mifumo ya kambi kadhaa ni katika vipaumbele vya sera za nje za Iran
Apr 08, 2021 22:11Rais Hassan Rouhani amesema kuimarisha mifumo ya uhusiano wa kambi kadhaa ni katika vipaumbele muhimu vya sera za nje za Iran na akasisitiza kwamba, nchi wanachama wa D8 zitapaswa kufanya machaguo muhimu katika kipindi cha baada ya janga la corona.
-
Rouhani: Iran ina fakhari kuwa imejitosheleza katika sayansi na teknolojia
Apr 08, 2021 08:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ambazo zimechukuliwa nchini kufukia kujitosheleza katika sekta mbali mbali za sayansi na teknolojia hasa sekta ya afya.
-
Zarif: Kipaumbele kikuu cha kwanza cha Iran ni majirani zake
Apr 08, 2021 03:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, safari yake nchini Kazakhstan ilikuwa na mafanikio makubwa na kusisitiza kuwa, kipaumbele kikuu cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuishi kwa salama na kwa ushirikiano bora na majirani zake.
-
Rouhani: Leo tunashuhudia msimu mpya wa kuhuishwa mapatano ya JCPOA
Apr 07, 2021 22:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, leo tunashuhudia mwanzo mpya wa kuhuishwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Akizungumza Jumatano mjini Tehran katika kikao cha baraza la mawaziri, Rouhani amesema nchi zote ambazo zinafungamana na mapatano ya JCPOA zinakutana Vienna Austria.
-
Chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa Iran yaonyesha matumaini
Apr 07, 2021 22:04Uchunguzi umebaini kuwa, chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa Iran ambayo inajulikana kama Razi Cov Pars haina madhara yoyote au hatari kwa mwanadamu.
-
Zarif: Tehran iko tayari kushirikiana na nchi za D8 katika nyanja mbalimbali
Apr 07, 2021 07:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, kurahisisha na kuzidisha biashara, kupanua mawasiliano na usafirishaji, kuimarishwa sekta ya utalii na kutumia vyema uwezo wa teknolojia na nguvu kazi hususan vijana ni miongoni mwa vipaumbele vya jumuiya ya D8, na kusisitiza kuwa, Iran iko tayari kwa ajili ya kuwa na ushirikiano mpana zaidi katika nyanja hizo.