-
Araqchi: Mkutano wa Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA Vienna ni chanya
Apr 07, 2021 03:17Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa ameashiria kuhusu mkutano wa jana Jumanne mjini Vienna wa Kamisheni ya Pamoja ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa, muelekeo wa kikao hicho ni chanya na wenye kutia matumaini.
-
'Stratijia bora ya kuimarisha uhusiano wa nchi na nchi ni kujitahidi kuuelewa vizuri upande wa pili'
Apr 06, 2021 08:25Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa, mkakati na stratijia bora kabisa ya kuimarisha uhusiano baina ya nchi na nchi ni kujitahidi kuuelewa vizuri upande wa pili kupitia mazungumzo na ushirikiano wa karibu.
-
Rabeia: Marekani inapaswa kukomesha ukiukaji wa sheria
Apr 06, 2021 03:51Msemaji wa Serikali ya Iran amesema kuwa serikali ya Marekani haina njia nyingine ghairi ya kukomesha ukiukaji wake wa sheria, vikwazo vya upande mmoja na uvunjaji wa makubaliano ya kimataifa.
-
Iran yamkamata jasusi wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki
Apr 05, 2021 22:56Maafisa wa usalama nchini Iran wametangaza kumkamata jasusi wa utawala wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki katika eneo la kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Ushauri wa Zarif kwa Le Drian; ukumbusho kwa uzembeaji na udharura wa EU kuchukua msimamo chanya kuhusu JCPOA
Apr 05, 2021 22:18Kikao cha kamati ya pamoja ya makubaliano ya nuklia ya JCPOA kimepangwa kufanyika leo Jumanne mjini Vienna, Austria kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa pande husika katika makubaliano hayo.
-
Khatibzadeh: Kikao cha 4+1 cha Vienna kitajadili jinsi ya kutekeleza JCPOA
Apr 05, 2021 08:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, ajenda ya kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya mapatano ya JCPOA ni kujadili jinsi ya kutekeleza vipengee vyote vya mapatano hayo ya nyuklia.
-
Ajenda ya kikao cha JCPOA Vienna itakuwa ya kujadili masuala ya kisheria
Apr 05, 2021 03:29Afisa mmoja husika katika ujumbe unaoiwakilisha Iran katika kikao cha kamati ya pamoja ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kitakachofanyika kesho mjini Vienna amesema, ajenda ya mazungumzo ya kamati hiyo itahusu majadiliano juu ya masuala ya kisheria tu kuhusu namna pande mbili zitakavyotekeleza majukumu yao na kupatikana uthibitisho wa utekelezaji huo.
-
Bunge la Iran lapinga kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua
Apr 04, 2021 07:31Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepinga pendekezo la kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua.
-
Iran haifanyi mazungumzo ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja na Marekani
Apr 04, 2021 03:40Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran haijafanya mazungumzo ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja na Marekani katika mazungumzo ya nyuklia
-
Qalibaf: Mapatano ya China na Iran ni onyo muhimu kwa Marekani
Apr 04, 2021 03:32Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema kutiwa saini mapatano ya ushirkiano wa Iran na China ni onyo muhimu kwa Marekani na kuongeza kuwa, matukio ya kimataifa yanachukua mkondo wa kasi ambao ni kwa hasara ya Marekani.