-
Indhari ya Zarif; kivuli kizito cha sheria ya bunge la Iran kwa pande shiriki katika mapatano ya JCPOA
Dec 05, 2020 06:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sheria ya hatua za kistratejia kwa ajili ya kuondoa vikwazo itatekelezwa iwapo pande shiriki katika mapatano ya JCPOA hazitatekeleza majukumu yao.
-
Zarif: Nchi za Ulaya ziache kukiuka JCPOA na zisitishe sera haribifu katika eneo
Dec 05, 2020 01:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Jawad Zarif amemjibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas ambaye ametaka mapatano ya nyuklia ya JCPOA yajadiliwe upya.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa vikwazo visivyo vya kibinadamu vya Marekani dhidi ya Iran
Dec 05, 2020 00:50Baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran mashuhuri kama JCPOA mnamo Mei 2018, Marekani ilianza kutekeleza vikwazo vikali zaidi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kupitia siasa zake za kutoa mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Tehran, na kuendelea kuzidisha taratibu vikwazo hivyo vilivyotajwa kuwa vya kulemaza, hata katika kipindi kigumu zaidi cha kuenea virusi vya corona duniani.
-
Vikwazo dhidi ya Iran vimelenga dawa na bidhaa za tiba
Dec 04, 2020 08:48Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amehutubu katika kikao cha ngazi za juu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu kukabiliana na janga la COVID-19 na kusema vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran vimezuia dawa na bidhaa zingine za tiba kuwafikia watu wa Iran.
-
Umoja wa Mataifa ulaani ugaidi Iran kama unavyolaani ugaidi Ufaransa, Austria
Dec 04, 2020 08:39Katibu wa Ofisi ya Haki za Binadamu katika Idara ya Mahakama ya Iran amesema Umoja wa Mataifa unapaswa kulaani ugaidi unaojiri Iran sawa na unavyolaani ugaidi unaojiri Ufaransa na Austria, japo mara moja.
-
Khatibzadeh: Uhawabi ndio chimbuko la chuki na ugaidi katika eneo na nje yake
Dec 04, 2020 03:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, makundi yote ya kigaidi katika eneo la Asia Magharibi yamepewa mafunzo ya elimu katika madrasa zinazofadhiliwa kifedha na Saudi Arabia.
-
Iran yaitaka IAEA iache pasipo na ulazima kueneza taarifa za shughuli zake za nyuklia
Dec 04, 2020 00:08Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao Vienna ametilia mkazo ulazima wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuacha, pasipo na ulazima, kueneza taarifa fafanuzi kuhusu shughuli zake za nyuklia.
-
Rais Rouhani: Wananchi wa Iran wamekabiliana vilivyo na vita vya kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia
Dec 03, 2020 07:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia vita vya pande zote vya kiuchumi vilivyoanzishwa na Marekani dhidi ya Tehran na kusema kuwa, wananchi wa Iran wamekabiliana vilivyo na vita vya kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia vya adui.
-
Iran yaishukuru Russia kwa msimamo wake thabiti wa kulaani mauaji ya Fakhrizadeh
Dec 03, 2020 07:37Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia ameishukuru nchi hiyo kwa msimamo wake imara wa kulaani mauaji ya kigaidi aliyofanyiwa mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya kiulinzi wa Iran, shahid Mhosen Fakhrizadeh.
-
Mauaji ya shahid Fakhrizadeh ni jinai ya wazi ya ugaidi wa kiserikali
Dec 03, 2020 04:37Mkuu wa Ofisi ya Uwakilishi ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema mauaji ya mwanasayansi mkubwa wa nyuklia Mohasen Fakhrizadeh ni hatua za kuvunja moyo za kutaka kuhatarisha amani ya kimataifa na ya kikanda na ni jinai ya wazi ya ugaidi wa kiserikali.