-
Iran yamuita Balozi wa Ufaransa kulalamikia kuvunjiwa heshima Mtume SAW
Oct 27, 2020 07:53Balozi Mdogo wa Ufaransa mjini Tehran, Florent Aydalot, ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kukabidhiwa malalamiko ya Iran kuhusu sisitizo la serikali ya Ufanrasa la kuwaunga mkono waliochapisha katuni zilizomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
-
Wabunge wa Iran walaani hatua ya Rais wa Ufaransa ya kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW
Oct 26, 2020 23:42Wawakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamelaani vikali matamshi ya rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
-
Iran: Marekani ikithubutu kuanzisha vita, haitakuwa na uwezo wa kuvimaliza
Oct 26, 2020 22:59Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kama Wamarekani wataanzisha vita basi wamalizaji wa vita hivyo hawatakuwa wao.
-
Shamkhani: Kauli za Macron dhidi ya Uislamu zinaonyesha ni mwanagenzi wa siasa
Oct 26, 2020 08:06Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema matamshi ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu yanayotolewa na Rais Emmanuel Macron yamedhihirisha uanagenzi wa kisiasa alionao kiongozi huyo wa Ufaransa.
-
Jibu la Msemaji wa Baraza la Kulinda Katiba kwa madai ya Washington
Oct 26, 2020 06:54Ikulu ya rais wa Marekani, White House imeituhumu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa inaingilia uchaguzi wa rais wa nchi hiyo. Madai hayo yametolewa kwa kutegemea baadhi ya baruapepe zilizodaiwa zimetumwa na baadhi ya wadukuzi wa Kiirani kwa raia wa Marekani kwa shabaha ya kuvuruga au kuathiri matokeo ya uchaguzi wa nchi hiyo.
-
Qalibaf: Njama za maadui haziwezi kuzima Nuru ya Mtume Muhammad SAW
Oct 26, 2020 04:10Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema nuru ya Mtume Mtukufu wa Uislamu, SAW, haiwezi kuzimwa kwa njama za maadui wa Kiislamu na kwamba njama hizo zitarejea kuwadhuru wao wenyewe.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kuvuka janga la corona kwa kuwa na usimamizi bora
Oct 25, 2020 04:06Kuibuka na kuenea virusi vya Corona ni janga ambalo limo katika hali ya kubadilika. Nchini Iran pia kama ilivyokuwa kwa mataifa mengine mengi ya dunia, virusi vya corona vimekuwa na taathira hasi zikiwemo za kiuchumi.
-
Iran: Njia pekee ya kuutatua mgogo wa Libya ni mazungumzo na njia za kisiasa
Oct 24, 2020 23:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapinga uingiliaji wa aina yoyote ile wa masuala ya ndani ya Libya ikiwa ni pamoja na mchakato wa mazungumzo na makubaliano ya pande hasimu nchini humo.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza kuchukuliwa maamuzi thabiti, watu wote kushirikiana kukabiliana na corona
Oct 24, 2020 11:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu ulazima wa kuchukuliwa maamuzi thabiti na ya kiutawala, kuzikubalisha fikra za waliweongi na kuwepo mashirikiano ya pamoja ya vyombo vyote vya umma na wananchi wote kwa ajili ya kukabiliana na hali ya kusikitisha ya janga la virusi vya corona lililoikumba dunia nzima.
-
Umoja wa Redio na TV za Kiislamu: Tutaendelea kuwa sauti ya wanaodhulumiwa duniani
Oct 24, 2020 11:17Umoja wa Redio na Televisheni za Kiislamu umelaani hatua isiyo ya kisheria iliyochukuliwa na Marekani ya kuuwekea vikwazo umoja huo.