-
Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Iraq kwa ugaidi
Oct 24, 2020 04:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuwekea vikwazo Balozi wa Marekani nchini Iraq, Matthew Tueller kwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi.
-
Wademokrat wa Seneti ya Marekani wapinga madai ya Trump dhidi ya Iran
Oct 24, 2020 00:50Mwenyekiti wa Wademokrat katika Seneti ya Marekani na vilevile Spika wa Kongresi ya nchi hiyo wamepinga madai yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Tasisi ya Usalama wa Taifa kwamba Iran inaingilia uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Ndege za kivita za Iran zashiriki kwa ufanisi mkubwa katika luteka
Oct 22, 2020 08:56Kamanda wa Kikosi cha la Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ndege za jeshi hilo zinashiriki kwa ufanisi mkubwa katika maneva na luteka ya kijeshi ya pamoja na Walinzi wa Anga ya Velayat-99.
-
Zaidi ya wagonjwa wapya 5,000 wa corona wagunduliwa nchini Iran
Oct 22, 2020 08:54Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza habari ya kugunduliwa zaidi ya wagonjwa 5,000 wapya wa ugonjwa wa COVID-19 humu nchini na kufarikia dunia wagonjwa 304 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Zarif: Eneo la Ghuba ya Uajemi lichague ama amani au ukosefu wa uthabiti
Oct 22, 2020 04:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema eneo la Ghuba ya Uajemi sharti likhitari moja kati ya mambo mawili, ama amani au ukosefu wa uthabiti.
-
Iran yakanusha madai ya kuingilia uchaguzi wa Marekani, yasema hauna umuhimu kwake
Oct 22, 2020 04:12Msemaji wa Ofisi ya Iran katika Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu inaingilia uchaguzi wa Marekani.
-
Mazoezi ya Kijeshi ya Walinzi wa Anga ya Velayat-99; kujitayarisha kwa ajili ya kukabiliana na vitisho
Oct 21, 2020 23:06Moja kati ya malengo ya kistratijia ya mafundisho ya kijeshi ya Iran ni kulinda utayarifu na kuimarisha uwezo wa jeshi kwa kutumia teknolojia ya kisasa.
-
Rouhani: Kuhitimishwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran ni ushindi wa mantiki ya akili dhidi ya mabavu
Oct 21, 2020 09:56Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhitimishwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran ni ushindi wa mantiki ya akili na ukweli dhidi ya utumiaji mabavu.
-
Iran: OIC itekeleza majukumu yake kukabiliana na wanaoanzisha uhusiano na Israel
Oct 21, 2020 09:21Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu Iran (ICRO) amesema, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapaswa kutekeleza majukumu yake kuhusiana na Fatuwa ambayo imetolewa na wanazuoni wa Kiislamu kuhusu marufuku ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kiongozi Muadhamu: Waislamu hawawezi kuvumilia udhalilishaji wa mapatano na Wazayuni
Oct 21, 2020 04:06Ukuraswa wa Twitter wa Kiongozi Maudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu umezungumzia hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala dhalimu wa Kizayuni na kusema kuwa, mataifa ya Waislamu hayawezi kamwe kuvumilia udhalilishaji uliosababishwa na mapatano hayo.