-
Chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa Iran kuanza kufanyiwa majaribio wanadamu
Oct 21, 2020 01:20Chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa nchini Iran itaanza kufanyiwa majaribio kwa wanaadamu mapema mwezi ujao wa Novemba.
-
Iran yaanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya ulinzi wa anga
Oct 21, 2020 01:08Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo yameanza mazoezi makubwa ya kijeshi yanayohusu ulinzi wa anga ambayo yanajumuisha Jeshi la Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)
-
Spika: Nchi za Kiislamu zisifuate nyayo za Marekani za kuiwekea vikwazo Iran
Oct 20, 2020 04:10Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka serikali za nchi za Kiislamu zisikubali kufuata nyayo za Marekani za kuiwekea vikwazo Iran katika kipindi hiki cha janga la corona.
-
Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kusaini mkataba wa kijeshi na nchi za pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi
Oct 19, 2020 23:05Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kusaini mikataba ya masuala ya kijeshi na usalama na nchi za pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi.
-
Corona yaendelea kuua watu katika wimbi jipya la maambukizi, mamia ya Wairani waaga dunia katika siku moja
Oct 19, 2020 12:07Wimbi jipya la maambukizi ya virusi vya corona linaendelea kuchukua roho za watu katika maeneo mbalimbali ya dunia na kuathiri uchumi na ustawi katika nchi mbalimbali.
-
Raisi: Nchi za Magharibi zisiwape hifadhi mafisadi wanaotoroka nchi
Oct 19, 2020 11:57Mkuu wa Idara ya Mahakama nchini Iran amezitahadharisha nchi za Magharibi kuhusu suala la kuwapa hifadhi mafisadi wa kiuchumi na kusema mafisadi hao wasidhani kuwa, fedha wanazoiba zitawafaidisha.
-
Sisitizo la Iran la kuunga mkono mchakato wa amani na kurejeshwa uthabiti nchini Afghanistan
Oct 19, 2020 06:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imeonyesha katika sera zake za kigeni kwamba, inaunga mkono uthabiti wa kisiasa, amani na utulivu nchini Afghanistan, na utendaji huu siku zote umekuuwa ukipewa kipaumbele katika sera za kigeni za Tehran.
-
Hatami, Iran inakidhi asilimia 90 ya mahitaji yake ya kijeshi
Oct 19, 2020 04:09Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vimekuwa chanzo cha nchi hii kustawi na kujitosheleza katika sekta ya ulinzi. Ameongeza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo inaweza kuzalisha ndani ya nchi asilimia 90 ya mahitaji yake yote ya kijeshi.
-
Nchi nyingi zinataka kununua silaha za Iran
Oct 18, 2020 23:36Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema nchi kadhaa zimetangaza kuwa tayari kununua silaha zilizoundwa nchini Iran.
-
Rouhani: Iran imefelisha njama za Marekani la kuisambaratisha nchi
Oct 18, 2020 23:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui wa Iran walikuwa na mpango maalumu wa kuzusha mifarakano na migongano humu nchnii ili viwazo vyao vipate nguvu zaidi.