-
Zarif: Iran inaunga mkono mchakato wa amani Afghanistan
Oct 18, 2020 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mchakato wa amani nchini Afghanistan ambao unaongozwa na Waafghani wenyewe.
-
Kumalizika muda wa vikwazo vya silaha vya Iran; ujumbe na matokeo yake
Oct 18, 2020 06:38Baada ya kupita miaka mitano ya utekelezaji wa mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA, hatimae muda wa vikwazo vya silaha vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umemalizika leo Jumapili, Oktoba 18, 2020.
-
Iran: Leo ni siku muhimu kwa walimwengu baada ya kufikia tamati vikwazo vya silaha dhidi ya Tehran
Oct 18, 2020 04:50Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi kwa mnasaba wa siku ya leo ya tarehe 18 Oktoba ya kufikia tamati muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya taifa hili na kueleza kwamba, hii ni siku muhimu kwa jamii ya kimataifa.
-
Ayatullah Ibrahim Raisi: Nchini Marekani polisi inachukiwa sana
Oct 18, 2020 04:48Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kubainisha kuwa, nchini Marekani kikosi cha polisi kinachukiwa mno amesema, kukandamiza shingo kwa goti dhidi ya waandamanaji na kubinya sauti zao si uthibitisho wa kuwa na nguvu na uwezo.
-
Zaidi ya wagonjwa wapya 4,000 wa corona wagunduliwa nchini Iran
Oct 17, 2020 08:16Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza habari ya kugunduliwa zaidi ya wagonjwa 4,000 wapya wa ugonjwa wa COVID-19 humu nchini na kufarikia dunia wagonjwa 253 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Amir-Abdollahian: Kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kitakuwa kikubwa zaidi kuliko shambulio la Ainul-Asad
Oct 17, 2020 01:01Katibu wa Kamati ya Palestina ya Mkutano wa Kimataifa ya Mujahidina walio kwenye upweke amesema, Marekani inajua kwamba kisasi cha damu ya Kamanda Qassem Suleimani kitakuwa kikubwa zaidi kuliko shambulio ililofanya Iran dhidi ya kambi ya Ainul-Asad.
-
Iran kuanza tena kufanya miamala ya kuuza na kununua silaha ifikapo Oktoba 18
Oct 17, 2020 01:00Msemaji wa ujumbe wa uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, kuanzia Jumapili ya kesho ya tarehe 18 Oktoba, sambamba na kumalizika muhula wa vizuizi ilivyowekewa, Iran itaanza kufanya miamala ya kuuza na kununua silaha.
-
Sisistizo la Russia la kushirikiana kijeshi na Iran baada ya kuondolewa vikwazo vya silaha
Oct 16, 2020 23:12Kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa vikwazo vya silaha vya Iran vinamalizika tarehe 18 mwezi huu wa Oktoba 2020 baada ya kumalizika muda wa miaka mitano wa vikwazo hivyo. Russia ikiwa mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama na moja kati ya nchi wanachama wa kundi la 4+1 imesisitiza kwamba itashirikiana kijeshi na Iran baada ya kumalizika vikwazo licha ya Marekani kufanya juhudi za kuongeza muda wa vikwazo hivyo.
-
Waliopona COVID-19 Iran wapindukia 420K
Oct 16, 2020 08:43Msemaji wa Wizara ya Afya ya Iran Sima Sadat Lari ametangaza kuwa hadi sasa watu 522,387 wameambukizwa corona nchini Iran na miongoni mwao 420, 910 wamepona.
-
Maomblezo ya kuaga dunia Mtume (saw) na kuuawa shahidi Imam Hassan (as)
Oct 16, 2020 03:52Taifa zima la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezama katika maombolezo ya kumbukumbu ya kuaga dunia Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) pamoja na kuuawa shahidi Imam Hassan Mujtaba (as), Imam wa pili wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.