-
Wanasayansi wa Iran wako imara kukabiliana na ubeberu wa Marekani
Oct 15, 2020 23:09Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran imetangaza kuwa, wanasayansi na wasomi wa Iran wako imara katika kukabiliana na ubeberu na uistikbari wa Marekani kwenye nishati ya nyuklia.
-
Sera za upande mmoja za Marekani ni tishio kwa jamii ya kimataifa
Oct 15, 2020 23:05Mjumbe wa Iran katika Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema kuendelea sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja ni tishio la kimataifa katika kuunga mkono na kuinua kiwango cha haki za binadamu.
-
Wingu zito la vikwazo vya kidhalimu vya Marekani linavyokwamisha jitihada za kupambana na corona
Oct 14, 2020 22:56Vikwazo haramu na vya upande mmoja vya Marekani vimegeuzwa kuwa moja ya nyenzo zinazotumiwa katika siasa za nje za nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Miaka 10 ya vikwazo vya kidhalimu dhidi ya Iran kufikia tamati Jumapili ijayo
Oct 14, 2020 09:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tarehe 18 ya mwezi huu ndio siku ya kumalizika muda wa vikwazo dhidi ya taifa hili na akasisitiza kwamba, miaka 10 ya vikwazo vya kidhalimu vya silaha dhidi ya Tehran itafikia tamati Jumapili ijayo.
-
Zaidi ya wagonjwa 4,800 wapya wa corona wagunduliwa Iran
Oct 14, 2020 09:11Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza kuwa, zaidi ya wagonjwa wapya elfu nne na mia nane (4,800) wa COVID-19 wamegunduliwa humu nchini katika kipindi cha saa 24 zlizopita.
-
Waziri wa Afya wa Iran: Majaribio ya chanjo wa corona hapa nchini yanaendelea vizuri
Oct 13, 2020 22:54Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa majaribio ya chanjo ya virusi vya corona inayotengenezwa hapa nchini yanaendelea vizuri kwa wanyama na kwamba chanjo hiyo itaanza kufanyiwa majaribio kwa wanadamu hivi karibuni.
-
Namaki: Iran inapambana na vikwazo na corona kwa wakati mmoja
Oct 13, 2020 08:08Waziri wa Afya wa Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapambana na vikwazo vya kidhalimu vya Marekani na virusi vya corona kwa wakati mmoja."
-
Makubaliano ya Kibenki ya Iran na Iraq; malengo na matarajio ya pande mbili
Oct 13, 2020 07:56Kushtadi vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sanjari na mashinikizo ya kisiasa, ni mambo ambayo yamepelekea kuibuka matatizo katika uhusiano wa kibiashara na kibenki kati ya Tehran na mataifa mengi ya dunia.
-
Tathmini ya Kiongozi Muadhamu kuhusu zogo linalofanywa na White House na uropokaji wa viongozi wa Marekani dhidi ya Iran
Oct 13, 2020 04:40Serikali ya Marekani imekanyaga sheria na makubaliano yote ya kimataifa na kuiwekea Iran vikwazo vikali kabisa kuwahi kushuhudiwa yakiwa ni matokeo ya kufanya mahesabu potovu yaliyoipa tamaa kwamba itaweza kulipigisha magoti taifa hili.
-
Namaki: Uwekaji vikwazo visivyo vya kisheria wakati wa janga la maradhi ni kielelezo cha mauaji ya kimbari
Oct 12, 2020 23:14Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran amesema, uwekaji vikwazo visivyo vya kisheria na uchukuaji hatua za mabavu hususan wakati wa janga la maradhi yaliyoikumba dunia nzima ni kielelezo cha mauaji ya kimbari.