-
Rais Rouhani: Njama za maadui za kuidumaza Iran kipindi cha corona zimegonga mwamba
Sep 05, 2020 03:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama zinazofanywa na maadui wa Iran kwa ajili ya kutoa pigo kwa nchi hii katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona na kusema: Maadui na vyombo vyao vya propaganda vimeazimia kuiduma Iran kwa kisingizio cha kukabiliana na corona lakini njama hiyo imefeli.
-
'Kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW, ni sura mpya ya ujinga wa kisasa'
Sep 04, 2020 22:42Kamati ya Haki za Binadamu ya Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa, kitendo kiovu cha jarida la Charlie Hebdo cha kuchapisha vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW ni sura mpya ya ujinga wa kisasa.
-
"Kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni kuukata roho uhuru na ni kuangamiza itikadi"
Sep 04, 2020 07:35Jumuiya ya Walimu wa Chuo Kikuu cha Kidini (Hawza) cha Qum hapa Iran imelaani vikali kuvunjiwa heshima matukufu ya Qur'ani Tukufu na Mtume Muhammad SAW na kusisitiza kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu kwa kisingizio cha uhuru wa itikadi kwa hakika ni kuukata roho uhuru huo na kungamiza kijinai, itakadi ya watu.
-
Hamas yalaani njama za Bahrain za kuwa na uhusiano wa kawaida na Wazayuni
Sep 04, 2020 07:27Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, kitendo cha baadhi ya nchi cha kuusaidia Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel kinazidi kuutia kiburi utawala huo pandikizi cha kuendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina na nchi za eneo hili.
-
Zaidi ya wagonjwa laki tatu na 30,000 wa COVID-19 nchini Iran wamepata afueni
Sep 04, 2020 07:22Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema, wagonjwa wengine wapya zaidi ya elfu mbili wa 26 wa ugonjwa wa coronsa (COVID-19) wamegunduliwa humu nchini katika kipindi cha masaa 24 iliyopita. Kati ya hao elfu moja na 73 wamelazwa na waliobakia wametibiwa haraka na kurejea nyumbani.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya sekta ya Petrokemikali ya Iran, kielelezo cha kuishiwa na kupumbaa Washington
Sep 04, 2020 06:52Katika hatua za kutaka kuiburuza na kuilazimisha Iran isalimu amri kwa matakwa yake haramu na ya kinyume cha sheria, Serikali ya Trump iliamua kuanzisha vita vya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu; na baada ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mnamo mwezi Mei 2018, ilianza kuiwekea Tehran vikwazo vikali zaidi kuwahi kushuhudiwa.
-
Iran yalijia juu jarida la Ufaransa kwa kumtusi Mtume Muhammad (saw)
Sep 04, 2020 02:56Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hatua ya jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo ya kuchapisha tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
-
Taarifa ya Chuo Kikuu cha al-Mustafa juu ya kuvunjiwa heshima Qurani, Sweden
Sep 04, 2020 02:55Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa kimetoa taarifa ya kulaani hatua ya kuvunjiwa heshima na kuchomwa moto nakala ya Qurani Tukufu nchini Sweden.
-
"Vipigo dhidi ya Marekani katika Baraza la Usalama vimetokana na kusimama kidete Wairani"
Sep 03, 2020 22:12Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushindwa mtawalia njama za Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kumetokana na kusimama kidete taifa hili.
-
Khatibzadeh: Si muhimu ni nani anakuwa rais wa Marekani
Sep 03, 2020 06:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa hakuna umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba ni nani anakuwa rais wa Marekani.