-
Zarif: Kusalimu amri mbele ya ubabe wa Marekani kunazidisha uchu tu wa Washington
Sep 03, 2020 02:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuwawekea vikwazo maafisa wawili waandamizi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Zarif: Suala lililofanywa la kawaida ni kubinya shingo la Wapalestina kwa goti la Wazayuni
Sep 02, 2020 23:40Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa tena suala la kuanzishwa uhusiano baina ya Imarati na utawala ghasibu wa Israel na kusisitiza kuwa: Jambo lililofanywa na kawaida kwa uhusiano huo ni kubinya shingo la Wapalestina kwa goti la Wazayuni.
-
UN yatahadharisha kuhusu athari za uharibifu wa mazingira za mlipuko wa Beirut
Sep 02, 2020 23:39Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu athari mbaya za uhabiribifu wa mazingira za mlipuko uliotoke mwezi uliopita kwenye bandari ya Beirut nchini Lebanon.
-
Rais Rouhani: Marekani inachekesha kwa inavyochacharika ili iweze kufaidika na fursa za JCPOA
Sep 02, 2020 10:44Rais Hassan Rouhani amesema inachekesha kuona Marekani inahaha na kuchacharika ili iweze kufaidika na fursa za makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ijapokuwa imeshajitoa katika makubaliano hayo.
-
Iran: Makombora yetu yana uwezo na muundo wa kipekee
Sep 02, 2020 03:32Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makombora yaliyozalishwa hapa nchini yana muundo wa aina yake na uwezo wa kipekee, jambo ambalo limeimarisha uwezo wa kujihami taifa hili.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel
Sep 02, 2020 02:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asubuhi ya jana Jumanne tarehe Mosi Septemba alitoa tathmini yake katika hotuba yake kwa njia ya mawasiliano ya Intaneti katika kikao cha 34 za Elimu na Malezi kuhusiana na mwenendo wa mapatano na utawala ghasibu wa Israel na kubainisha malengo machafu ya kuanzishwa uhusiano baina ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na utawala mtenda jinai wa Israel.
-
Araqchi: Wanachama wa JCPOA hawaitambui Marekani kama mshirika wao
Sep 01, 2020 23:01Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema nchi zilizosalia katika makubaliano ya nyuklia ya Iran haziitambui Marekani kuwa mwanachama au mshirika wa mapatano hayo ya kimataifa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Imarati imeusaliti Ulimwengu wa Kiislamu na Palestina
Sep 01, 2020 08:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja hatua ya serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni kuwa ni kuusaliti Ulimwengu wa Kiislamu, Ulimwengu wa Kiarabu na nchi za eneo na kadhia muhimu ya Palestina.
-
Rais Rouhani: Mitazamo ya Iran na Niger katika masuala ya kimataifa inafanana
Sep 01, 2020 03:18Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Niger kuwa nchi mbili hizi zimekuwa na ushirikiano amilifu na mitazamo inayofanana katika masuala na taasisi za kimataifa na kubainisha kuwa, nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika bila shaka itakabiliana na uchukuaji wa maamuzi ya upande mmoja wa Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Iran: Marekani haina haki wala kibali cha kutumia "Snapnack Mechanism"
Sep 01, 2020 03:16Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani haina haki, idhini wala kibali cha kutumia utaratibu wa kurejesha upya vikwazo ilivyokuwa imewekewa Iran huko nyuma na UN unaofahamika kama 'Snapback Mechanism."