-
Rais Rouhani: Kuimarisha uhusiano wa kiistratijia na majirani zetu, ndicho kipaumbele kwa Iran
Aug 31, 2020 22:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha na kustawisha uhusiano wa kiistratijia na majirani zetu hasa katika masuala ya kibiashara na kiuchumi ni katika vipaumbele vya Tehran.
-
Sayyid Raisi: Kushambuliwa Waislamu wanaoomboleza mauaji ya Imam Husain AS nchini Nigeria ni kinyume cha katiba
Aug 31, 2020 09:02Mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha wanajeshi wa Nigeria cha kuwashambulia Waislamu waliokuwa kwenye maomboleza ya Imam Husain AS na kusema kuwa kitendo hicho ni kinyume na katiba na kinakinzana na uhuru wa kila mtu kuwa na itikadi anayotaka.
-
Safari ya Abbas Araqchi Vienna; muendelezo wa mazungumzo katika kalibu ya Kamisheni ya pamoja ya JCPOA
Aug 31, 2020 06:09Vienna mji mkuu wa Austria Jumanne ya kesho Septemba Mosi, unatarajiwa kuwa mwenyeji wa kikao cha Kamisheni ya pamoja ya JCPOA kwa kuhudhuriwa na ujumbe wa Iran na kundi la 4+1 (Ufaransa, Russia, China, Uingereza na Ujerumani) pamoja na mratibu wa Umoja wa Ulaya.
-
Iran: Magaidi wa MKO wanapewa hifadhi na US na EU licha ya kuua maelfu ya Wairani
Aug 30, 2020 06:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani zinawapa hifadhi wanachama wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) licha ya genge hilo kuua kikatili maelfu ya Wairani.
-
Iran ya Kiislamu yaghariki kwenye dimbwi la huzuni na majonzi ya maombolezo ya Ashura
Aug 30, 2020 02:46Kwa kuwadia Ashura, siku ya kupeperushwa bendera za wekundu wa damu za kupigania uhuru na ukombozi, msisimko wa mapenzi ya Imam Hussein AS umetanda katika kila pembe ya Iran ya Kiislamu.
-
Msimamo thabiti wa Iran wa muqawama wa kukabiliana na ubeberu chimbuko lake ni utamaduni wa Ashura
Aug 29, 2020 23:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, chimbuko la msimamo thabiti wa Jamhuri ya Kiislamu wa muqawama wa kukabiliana na ubeberu linatokana na utamaduni wa Ashura.
-
Umbumbumbu wa Marekani katika masuala ya sheria, wameshindwa na sasa wanatoa vitisho
Aug 29, 2020 05:48Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amekosoa jitihada zinazofanywa na Marekani kwa ajili ya kurejesha vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran kuanzia tarehe 20 Oktoba mwaka huu wa 2020 na kusema: Viongozi wa serikali ya Marekani ni mbumbumbu katika masuala ya sheria na hawajui lolote kuhusiana na tendaji wa Umoja wa Mataifa.
-
Mamilioni washiriki maombolezo ya Tasua kwa kuchunga protokali za afya
Aug 29, 2020 03:32Licha ya janga la corona, na huku wakichunga protokali za afya, mamilioni ya Waislamu wa Iran na maeneo mengine ya dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua.
-
Zarif aipa Marekani somo la sheria baaada ya kubwagwa mara 3 katika UNSC
Aug 29, 2020 03:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kushangazwa kwake na kitendo cha Marekani cha kutishia tena kumwekea vikwazo mtu au taasisi yoyote inayoshirikiana na Iran, licha ya kupigwa mweleka mara tatu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Iran: Siasa za kujikumbizia kila kitu upande wake Marekani zaidhoofisha UN
Aug 28, 2020 22:39Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa usiku wa kuamkia leo ameandika kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter kwamba, siasa za Marekani za kujikumbizia kila kitu upande wake zinaudhoofisha Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo.