-
Iran inapinga mashinikizo ya Marekani kwa Baraza la Usalama na nchi za eneo
Jul 27, 2020 03:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Tehran inapinga mashinikizo ya Marekani kwa wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na nchi za eneo.
-
Araqchi: Iran haitaacha haki yake isiyo na shaka kwa sababu tu ya ubabe wa Marekani
Jul 26, 2020 23:11Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani ni haki ya wazi na isiyo na shaka ya wananchi wa Iran na akasisitiza kuwa: Licha ya kuitolea gharama kubwa kutokana na vikwazo, Jamhuri ya Kiislamu haitaiacha haki yake hiyo ya wazi kabisa kwa sababu tu ya ubabe wa Marekani.
-
'Kufunguliwa tena msikiti wa Hagia Sophia ni kurejeshwa turathi ya Ulimwengu wa Kiislamu'
Jul 26, 2020 09:15Sekretarieti ya Baraza la Kimataifa la Mwamko wa Kiislamu imesema, kufunguliwa tena msikiti wa Hagia Sophia ni kurejeshwa turathi ya Kiislamu kwa Ulimwengu wa Kiislamu na ni hatua ya kukabiliana na ubeberu wa kiutamaduni wa Magharibi.
-
Idadi ya wagonjwa wa Covid-19 nchini Iran waliopata afueni yapindukia 253,000
Jul 26, 2020 09:11Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema, wagonjwa wengine wapya wapatao elfu mbili wa maradhi ya Covid-19 wamegunduliwa nchini, huku idadi ya waliopata afueni ya ugonjwa huo ikipindukia 253,000.
-
Uhusiano wenye mlingano na madola yote ya Eurasia, Asia Mashariki na Kusini, kipaumbele katika sera za kigeni za Iran
Jul 26, 2020 06:16Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina azma ya kulinda na kuendeleza mlingano wa uhusiano na urafiki na madola yote makubwa ya Eurasia, Asia Mashariki na Kusini.
-
Abdollahian: Kwa sasa utawala wa Kizayuni uko kwenye hali ngumu kuliko wakati mwingine wowote
Jul 26, 2020 03:09Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) anayeshughulikia masuala ya kimataifa amesema kwamba kwa sasa Wazayuni wanakabiliwa na hali ngumu na tata zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
-
Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia
Jul 26, 2020 02:02Sala ya kwanza ya Ijumaa ilisaliwa Ijumaa katika msitiki wa Hagia Sophia nchini Uturuki tarehe 24 mwezi huu wa Saba baada ya miaka 86 kwa kuhudhuriwa na rais, viongozi wa serikali na pia wananchi wa nchi hiyo.
-
Waliopataa nafuu baada ya kuugua corona Iran wapindukia 251,000
Jul 25, 2020 22:12Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran hadi sasa watu zaidi ya 251,00 walioambukizwa virusi vya corona wamepata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitali.
-
Balozi wa Syria Tehran: Uchokozi wa Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran ni ugaidi
Jul 25, 2020 22:11Balozi wa Syria mjini Tehran amesema, uchokozi wa ndege za kivita za Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran katika anga ya Syria ni nembo na dhihirisho la ugaidi wa Marekani dhidi ya raia wakiwemo wanawake na watoto.
-
Rais Rouhani: Marekani haina ubavu wa kulipigisha magoti taifa imara la Iran
Jul 25, 2020 06:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani pamoja na majigambo yake haina ubavu wa kulipigisha magoti taifa la Iran na kulifanya lifuate matakwa yake.