-
Iran kushirikiana na Senegal katika kukabiliana na virusi vya Corona
Jul 25, 2020 06:55Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Senegal zimeazimia kushirikiana pamoja kwa ajili ya kukabiliana na maambukizo ya virusi vya Corona.
-
Azma ya Iran na Russia ya kufunga mkataba wa pamoja wa ushirikiano wa muda mrefu na wa pande zote
Jul 25, 2020 06:42Viongozi wa ngazi ya juu wa Iran na Russia wana azma thabiti ya kufunga mkataba wa pamoja wa ushirikiano wa muda mrefu na pande zote kati ya nchi mbili.
-
Hizbullah: Uchokozi wa ndege za kivita za Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran ni ugaidi
Jul 24, 2020 22:43Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa ikilaani hatua ya ndege za kivita za Marekani ya kutishia usalama wa ndege ya abiria ya Iran katika anga ya Syria na kusema kuwa ni harakati ya kigaidi.
-
Velayati: Tutalipa kisasi kwa Marekani cha mauaji ya kigaidi ya Qassem Soleimani
Jul 24, 2020 22:13Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani ilikuwa jinai kubwa zaidi ya Marekani dhidi ya Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu na kueleza kwamba, Iran italipa kisasi kwa mauaji hayo na hilo halina shaka.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yakemea vikali hatua ya ndege zakivita za Marekani ya kuhatarisha usalama wa ndege ya abiria ya Iran
Jul 24, 2020 09:19Msemaji wa Wizara Mambo ya Nchi za Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekemea vikali hatua ya ndege mbili za kijeshi za Marekani ya kutishia usalama wa ndege ya abiria ya Iran katika anga ya Syria na kusema: Habari zaidi kuhusu tukio hilo zinafanyiwa uchunguzi na hatua za dharura za kisiasa na kisheria zitachukuliwa baada ya kukamilika uchunguzi huo.
-
Marekani ya Trump; utawala asi na wa kijambazi duniani
Jul 23, 2020 22:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, baada ya Marekani kujitoa katika makubaliano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) imegeuka kuwa utawala asi na wa kijambazi duniani.
-
Mousavi: Moto wa karibuni nchini Iran hauhusiani na hujuma za kimtandao
Jul 23, 2020 02:54Akijibu madai kuhjusu uharibifu na hujuma za kimtandao dhidi ya Iran, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, moto uliotokea hivi karibuni hapa nchini hausiani kivyovyote na hujuma za kimtandao.
-
Safari ya Zarif mjini Moscow; udharura wa kuimarisha ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani
Jul 22, 2020 23:45Muhammad Jawad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliwasili mjii Moscow siku ya Jumanne kwa ajili ya kufanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mambo ya nje na vilevile Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Rais Rouhani asisitiza kupanuliwa ushirikiano wa Iran na majirani pamoja na nchi rafiki
Jul 22, 2020 07:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya iran amesisitiza juu ya azma ya taifa hili ya kupanua uhusiano na ushirikiano wake na majirani zake wote pamoja na nchi rafiki.
-
Zarif asisitiza umuhimu wa uhusiano na majirani kwa ajili ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani
Jul 22, 2020 07:32Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya iran amesema kuwa, kuna umuhimu wa kuweko uhusiano mwema na majirani kwa ajili ya kukabiliana na vikwazo visivyo vya kisheria vya Marekani na kulinda usalama wa eneo hili.