-
Kiongozi Muadhamu asisitiza udharura wa kulindwa ardhi ya Iraq na umoja na mshikamano wa ndani
Jul 22, 2020 05:03"Iran inataka kuona Iraq yenye izza sambamba na kulindwa ardhi yote ya nchi hiyo na mshikamano wa ndani; kinyume chake, Marekani ni adui halisi na haitaki kuwepo Iraq inayojitawala, yenye nguvu na yenye serikali iliyochaguliwa na waliowengi."
-
Dakta Muhammad Javad Zarif: Saudi Arabia haitaki uhusiano ulio sawa na Iran
Jul 22, 2020 03:25Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuwa na uhusiano mzuri na Saudi Arabia, lakini inasikitisha kuwa, serikali ya Riyadh haitaki kuweko uhusiano ulio sawa baina yake na Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran inataka kuona Iraq yenye izza na huru, Marekani ni adui
Jul 21, 2020 23:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Iran inataka kuona Iraq yenye izza sambamba na kulindwa ardhi yote ya nchi hiyo na mshikamano wa ndani; kinyume chake Marekani ni adui halisi na haitaki kuwepo Iraq inayojitawala, yenye nguvu na yenye serikali iliyochaguliwa na waliowengi.
-
Rouhani: Uhuru wa kujitawala na usalama wa Iran na Iraq vinafungamana
Jul 21, 2020 22:00Rais Hassan Rouhani wa Iran na Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi wamesema uhusiano wa Tehran an Baghdad unavuka mipaka ya nchi mbili hizi jirani, na kusisitiza kuwa: Uhuru wa kujitawala na usalama wa Iran na Iraq vina mfungamano mkubwa.
-
Watu zaidi ya 242,000 walioambukizwa corona Iran wapata nafuu
Jul 21, 2020 06:20Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ameashiria kuambukizwa corona karibu watu 278,000 hapa nchini na kutangaza kuwa, hadi sasa watu 242,351 walioambukizwa virusi vya corona wamepata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitali.
-
Wataalamu wa Iran watengeneza kifaa cha kugundua corona kwa sekunde kadhaa
Jul 20, 2020 21:51Watafiti wa Iran wamefanikiwa kubuni na kutengeneza kifaa kinachoweza kugundua wagonjwa wa COVID-19 au virusi vya corona haraka sana.
-
Abbas Mousavi: Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Asia Magharibi
Jul 20, 2020 06:45Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za la Asia Magharibi kwa ajili ya kuyapatia ufumbuzi matatizo mbalimbali yanayolikabili eneo hili.
-
Ayatullah Raeisi: Propaganda za maadui hazina taathira kwa utendaji wa Vyombo vya Mahakama vya Iran
Jul 20, 2020 06:41Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, propaganda na bwajaja za maadui hazitakuwa na taathira yoyote ile kwa utendaji wa vyombo vya mahakama hapa nchini.
-
Iran yamnyonga jasusi wa Mossad na CIA
Jul 20, 2020 02:23Hukumu ya kumnyonga jasusi wa Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani CIA, na Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad, imetekelezwa leo asubuhi,
-
Safari ya Zarif mjini Baghdad; mazungumzo juu ya uhusiano wa kistratejia wa nchi mbili jirani
Jul 19, 2020 23:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif, ambaye jana Jumapili alielekea nchini Iraq akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu, mara baada ya kuwasili mjini Baghdad, alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo juu ya uhusiano wa pande mbili na masuala muhimu ya kieneo na kimataifa.