-
Zarif: EU inapaswa kufungamana na wajibu wake katika mapatano ya JCPOA
Jul 06, 2020 22:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema nchi za Umoja wa Ulaya zinapaswa kufungamana na wajibu wake katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu Iran kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina
Jul 06, 2020 21:58Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu barua kutoka kwa mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kuhusu matukio ya hivi karibuni ya Palestina.
-
Majibu ya Kiongozi Muadhamu kwa barua ya Haniya: Iran haitasita kufanya kila juhudi ili kuzima shari ya utawala wa Kizayuni
Jul 06, 2020 06:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuwasaidia na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na kuvunja shari za utawala bandia na ghasibu wa Kizayuni.
-
Rais Rouhani: Njama za maadui za kusambaratisha uchumi wa Iran zitagonga mwamba
Jul 05, 2020 09:56Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema katu maadui hawatafanikiwa katika njama zao za kutaka kuvuruga uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ufuatiliaji kisheria na kisiasa wa faili la kuuawa shahidi Qassem Soleimani na wenzake
Jul 05, 2020 05:12Ufuatiliaji kisheria na kisiasa wa faili la kuuawa shahidi Luteni Qassem Soleimani, Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sepah pamoja na wenzake aliokuwa ameandamana nao huko Iraq umewekwa katika ajenda ya Baraza la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Qalibaf: Iran itasimama kidete mbele ya kujitakia makuu IAEA
Jul 05, 2020 03:23Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema: "Jamhuri ya Kiislamu itasimama kidete kukabiliana na kujitakia makuu Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) .
-
Zarif: Marekani inatekeleza sera za mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran
Jul 05, 2020 02:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ambazo Marekani inazichukua dhidi ya Tehran ni za mabavu na ni ugaidi wa kiuchumi. Ameongeza kuwa, msingi wa sera hizo za Marekani ni mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran.
-
Marekani iliwapa magaidi zawadi kubwa zaidi kwa kumuua kigaidi Luteni Jenerali Soleimani
Jul 04, 2020 23:31Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuuawa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kamanda shahidi wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ilikuwa ni zawadi kubwa zaidi ya Marekani kwa magaidi wakufurishaji na waungaji mkono wao.
-
Rais Rouhani: Iran imefanya kazi kubwa katika kudhamini dawa na vifaa vya matibabu
Jul 04, 2020 07:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia tadibiri na mipango imara humu nchini katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 na kusema kuwa, Iran imefanya kazi kubwa katika kudhamini dawa na vifaa vya tiba na matibabu.
-
Ubalozi wa Iran Ufaransa waiambia Saudia: Heshima hainunuliwi kwa pesa za mafuta ya petroli
Jul 03, 2020 22:10Ubalozi wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran nchini Ufaransa umekosoa na kukemea jinai zinazofanywa na Saudi Arabia na washirika wake nchini Yemen na kusisitiza kuwa: Katika dunia ya sasa hadhi na heshima haviwezi tena kununuliwa kwa fedha za mafuta ya petroli.