-
Zarif: Natumai ulimwengu wa Kiislamu utapata ushindi dhidi ya maadui
May 24, 2020 06:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza matumaini yake kuwa ulimwengu wa Kiislamu utaibuka na ushindi dhidi ya maadui.
-
Brig. Jen. Hajizadeh: Utayarifu wa kujihami Iran upo katika kiwango cha juu zaidi
May 24, 2020 06:16Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa, utayarifu wa kulihami na kulilinda wa taifa la Iran hivi sasa upo katika kiwango cha juu zaidi katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Swala ya Idi yaswaliwa katika misikiti nchini Iran
May 24, 2020 03:10Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameshiriki katika swala ya Idul Fitr baada ya kukamilisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Rais wa Iran awatumia salamu za Idul Fitr viongozi wa nchi za Kiislamu
May 23, 2020 23:51Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu kote duniani salamu za kheri na fanaka kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr.
-
Wizara ya Ulinzi ya Iran: Tutaendelea kuunga mkono muqawama wa Palestina
May 23, 2020 05:45Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema itaendelea kuziunga mkono na kuzipa misaada isiyo na kikomo harakati za muqawama za Palestina zinazopambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rouhani: Njama za uistikbari wa dunia dhidi ya taifa la Iran zilihitimishwa tarehe 3 Khordad
May 23, 2020 03:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kuwa siku ya kukombolewa mji wa Khoram-shahr haijasahaulika na kuleza kuwa njama kuu ya uistikbari wa dunia, kimataifa na kieneo dhidi ya taifa la Iran ilihitimishwa tarehe Tatu mwezi Khordad.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia ajali ya ndege ya Pakistan iliyoua 97
May 23, 2020 03:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pole kwa serikali na raia wa Pakistan kufuatia ajali ya ndege ya abiria ya nchi hiyo iliyoua makumi ya watu.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu kukaribia kuangamia utawala wa Kizayuni katika eneo
May 22, 2020 22:08"Bila shaka kirusi cha Uzayuni hakitadumu kwa muda mrefu na kwa kutegemea hima, imani, ghera ya vijana, mizizi ya kirusi hicho itang'olewa na kuondolewa katika eneo".
-
Iran: Marekani kukanyaga sheria zote za kimataifa ndio dhati yake
May 22, 2020 22:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa, katika kipindi cha miaka mitatu na nusu iliyopita, serikali ya Marekani imekuwa ikikanyaga sheria na maazimio yote ya kimataifa na imekuwa ndiyo dhati yake kutoheshimu kanuni wala sheria na taratibu zinazopaswa kuheshimiwa na kila nchi duniani.
-
Kiongozi Muadhamu: Mhalifu mkuu wa maafa ya Palestina ni serikali za Magharibi na siasa zao za kishetani
May 22, 2020 03:54Ayatullah Ali Khameni, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria ukubwa wa maafa ya kughusubiwa nchi ya Palestina na kubuniwa kwa donda la saratani la uzayuni na kusisitiza kwamba mhalifu mnkuu wa maafa ya Palestina ni serikali za nchi za Magharibi na siasa zao za kishetani.