-
Zarif: Utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mvunjaji mkubwa wa haki za binadamu duniani
May 22, 2020 03:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani.
-
"Siku ya Kimataifa ya Quds ni nembo ya uvumilivu, umoja na mshikamano wa Waislamu"
May 21, 2020 22:47Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameielezea Siku ya Kimataifa ya Quds inayoadhimishwa hii leo kote duniani kama utamaduni mzuri na nembo ya uvumilivu, umoja na mshikamano wa Waislamu katika kuhami na kutetea thamani za Kiislamu.
-
Mjumuiko mkubwa wa Siku ya Kimataifa ya Quds kufanyika katika intaneti
May 21, 2020 06:19Kutokana na kuenea janga la COVID-19 au corona kote duniani na vizingiti vilivyowekwa katika kuandaa mijimuiko ya watu mitaani au katika kumbi, sasa kutafanyika mjumuiko mkubwa wa waungaji mkono wa Palestina katika intaneti.
-
IRGC: Palestina ni kadhia muhimu zaidi katika eneo, jamii ya kimataifa na ulimwengu wa Kiislamu
May 21, 2020 06:10Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa, kadhia ya Palestina ingali kadhia muhimu zaidi katika eneo, kimataifa na katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Tutaliunga mkono taifa lolote linalopambana na utawala wa Kizayuni
May 21, 2020 03:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran italiunga mkono taifa lolote lile linalosimama kidete dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mafanikio ya Iran katika kudhibiti COVID-19 kwa mtazamo wa mwakilishi wa WHO
May 21, 2020 01:55Katika wiki na miezi ya hivi karibuni Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepata mafanikio makubwa na muhimu katika uwanja wa kudhibiti maradhi ya COVID-19.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds, siku ya ushindi wa heshima dhidi ya udhalili
May 20, 2020 22:33Miaka 41 iliyopita, Imam Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliitangaza Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Iran yakosoa barua ya vitisho ya Trump kwa Shirika la Afya Duniani
May 20, 2020 22:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema barua ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia haina umuhimu wowote na imeandikwa katika wakati usiofaa.
-
Iran: Mpango wa "Muamala wa Karne" ni ishara ya wazi ya utapeli wa Marekani
May 21, 2020 01:29Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, mpango wa Marekani-Israel wa 'Muamala wa Karne" ni ishara ya wazi ya hila na utapeli wa Wamarekani.
-
Rais Rouhani: Quds haitasahaulika na haitaendelea kubakia katika uvamizi wa madhalimu
May 20, 2020 07:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kukaribia maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kusisitiza kuwa, Quds katu haitasahauliwa na haitaendelea kubakia katika uvamizi wa madhalimu.