-
Vikosi vya usalama vya Iran vyatoa pigo kali dhidi ya kundi la kigaidi la 'Jeish Al-Dhulm'
Mar 08, 2020 23:26Idara Kuu ya Habari ya Mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa Iran, imeelezea habari ya kugunduliwa na kusambaratishwa timu ya kigaidi yenye mfungamano na kundi la kigaidi la 'Jeish Al-Dhulm.'
-
Kianoush Jahanpour: Zaidi ya watu 2100 wapona virusi vya corona nchini Iran
Mar 08, 2020 10:04Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa, hadi sasa zaidi ya watu 2100 walioambukizwa virusi vya corona hapa nchini wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.
-
Shamkhani: Hatua ya Iraq ya kutaka kufukuzwa majeshi ya Marekani ni ya kupongezwa
Mar 08, 2020 10:01Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, hatua ya serikali na Bunge la Iraq ya kutaka kuondoka majeshi vamizi ya Marekani katika nchi hiyo ambayo, ilipelekea Wairaqi kuandamana kwa mamilioni na kutaka kutekelezwa takwa hilo la uma Asia Magharibi inastahiki kupongezwa.
-
Wingu la Corona lilivyougubika uzalishaji mafuta wa nchi wanachama na zisizo wanachama wa OPEC
Mar 08, 2020 04:04Kikao cha nane cha dharura cha mawaziri wa nchi wanachama na zisizo wanachama wa OPEC, kinachojulikana kama OPEC+ kilifanyika siku ya Ijumaa katika makao makuu ya jumuiya hiyo na ilipo Sekretarieti yake huko mjini Vienna, lakini kikamalizika bila kutolewa taarifa yoyote.
-
Mwakilishi wa WHO: Iran imesimama imara dhidi ya corona kwa azma thabiti
Mar 08, 2020 00:02Mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani uliopo hapa nchini amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inakabiliana kwa dhati dhidi ya maambukizo ya virusi vya corona.
-
Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umegeuka na kuwa ugaidi wa kimatibabu
Mar 07, 2020 23:15Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Rais Donald Trump ameshadidisha vikwazo haramu vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya Iran kwa lengo la kufyonza rasilimali za taifa hili zinazohitajika kwa ajili ya kupambana na virusi hatari vya Corona.
-
Amir-Abdollahian: Marekani inazuia vifaa vya kukabiliana na Corona kuingizwa Iran
Mar 07, 2020 08:58Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Wizara ya Fedha ya Marekani inazuia vifaa vya tiba vilivyonunuliwa na Iran kuletwa hapa nchini kwa ajili ya kutibu wagonjwa waliopatwa na virusi vya Corona.
-
Shamkhani: Virusi vya vikwazo vinahatarisha zaidi usalama wa kimataifa kuliko virusi vya Corona
Mar 07, 2020 08:21Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa virusi vya vikwazo na kukwepa kutekeleza majukumu vinahatarisha zaidi usalama wa kimataifa kuliko virusi vya Corona.
-
Tume ya Haki za Binadamu Iran: Serikali ya India ihakikishe haki za kiutu na kiraia za Waislamu zinalindwa
Mar 07, 2020 04:20Tume ya Haki za Binadamu ya Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za kinyama wanazofanyiwa Waislamu nchini India na imeitaka serikali ya nchi hiyo ihakikishe haki za kiutu na kiraia za Waislamu hao zinalindwa.
-
Watu 913 wapona virusi vya corona nchini Iran, WHO yapongeza
Mar 06, 2020 23:31Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa hadi hivi sasa watu 913 walioambukizwa virusi vya corona humu nchini wamepona na kurejea katika maisha yao ya kawaida.