-
Iran na Hamas zataka nchi za Kiislamu kuchukua msimamo mmoja kukabiliana na Muamala wa Karne
Mar 06, 2020 22:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) zimetoa wito kwa nchi za Kiislamu kuchukua msimamo mmoja kwa ajili ya kukabilina na mpango wa kibaguzi wa Marekani wa Muamala wa Karne.
-
Corona; Shirika la Afya Duniani lapongeza elimu ya kitiba nchini Iran
Mar 06, 2020 22:57Kirusi cha COVID-19 maarufu kama Corona hakijui mipaka na kimeenea kote duniani na kwa msingi huo mbali na jitihada za kitaifa, kuna jitihada za kimataifa za kukabiliana na ugonjwa huu kupitia kubadilishana uzoefu wa madaktari na Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Ayatullah Hamedani alaani ukatili unaofanywa nchini India dhidi ya Waislamu
Mar 06, 2020 09:07Ayatullah Nouri Hussein Hamedani ambaye ni miongoni mwa viongozi wa juu wa kidini nchini Iran amelaani ukatili na mauaji yanayoendelea kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India na kukosoa kimya cha vyombo vya habari duniani kuhusiana na mauaji hayo.
-
Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona
Mar 06, 2020 04:53Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambaye ameitembelea Iran hivi karibuni amepongeza juhudi kubwa za vyombo na taasisi za afya hapa nchini katika kupambana na virusi vya Corona.
-
Zarif: Kuna udharura wa kuwepo ushirikiano wa kimataifa katika mapambano dhidi ya Corona
Mar 05, 2020 23:42Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo Ijumaa ametoa wito wa kuwepo ushirikiano wa kikanda na kimataifa kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona.
-
Meja Jenerali Salami: Iran hivi sasa ipo katika vita vya kibiolojia
Mar 05, 2020 22:57Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema taifa la Iran lipo katika vita vya kibiolojia hivi sasa, lakini bila shaka wananchi Waislamu wa Iran wataibuka washindi.
-
Upinzani wa mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 kwa msimamo wa IAEA kuhusu Iran
Mar 05, 2020 22:54Ripoti ya mwisho kabisa ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuhusiana na miradi ya nyuklia ya Iran, mbali na kudai kwamba Tehran haikuchunga mipaka iliyowekwa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, imetoa madai mengine mapya kuhusu Iran, mambo ambayo yamepingwa na mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 ambao unaundwa na nchi mbili za Russia na China.
-
Kiongozi Muadhamu: India isitishe mauaji ya Waislamu iwapo haitaki kutengwa
Mar 05, 2020 09:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitahadharisha serikali ya India dhidi ya kuendelea kutekeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, ukandamizaji unaoendelea kufanyiwa Waislamu katika nchi hiyo ya kusini mwa Asia utapelekea serikali ya New Delhi itengwe katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Watu 552 waliokuwa wameambukizwa Corona nchini Iran wapona
Mar 05, 2020 06:10Iran imetangaza kuwa hadi sasa watu 552 waliombukizwa ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona wamepona na wamepewa ruhusa ya kurudi nyumbani kutoka hospitali.
-
Spika wa Bunge la Iran aitaka India ihitimishe mzozo uliopo kwa njia za amani
Mar 05, 2020 04:48Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kusikitishwa kwake na mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu nchini India na ameitaka serikali ya New Delhi, itumie mbinu na uwezo wote kwa ajili ya kuhitimisha mzozo uliopo kwa njia za amani.