-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la wote kuwajibika katika kukabiliana na kirusi cha Corona
Mar 04, 2020 09:38Akizungumza siku ya Jumanne kwa mnasaba wa Siku ya Kupanda Miti na Wiki ya Maliasili nchini Iran, mara tu baada ya kupanda miti miwili ya matunda kwa mnasaba huo, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameashiria maradhi ya Corona yaliyoenea nchini na kutoa shukrani zake za dhati kwa juhudi zinazofanywa na madaktari, wauguzi na timu za matibabu kwa ajili ya kupambana na maradhi hayo ya kuambukiza.
-
Rais Uhuru Kenyatta apokea hati za utambulisho za mabalozi wapya wa Iran na Senegal jijini Nairobi
Mar 04, 2020 08:39Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amepokea hati za utambulisho za mabalozi wapya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Senegal ambapo wawakilishi hao wapya wameahidi kufanya juhudi kwa ajili ya kuimarisha zaidi uhusiano wa nchi zao na nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Iran yaonya kuhusu bidaa zisizo na msingi katika wakala wa IAEA
Mar 04, 2020 08:26Kazem Gharib Abadi, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika asasi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna Austria amejibu ripoti mpya ya wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na kusema kuwa, Tehran imo mbioni kuzuia uanzishwaji wa bidaa zisizo na msingi na hatari katika wakala huo.
-
Iran inafanya juhudi kubwa za kupunguza maambukizi ya virusi vya corona kadiri inavyowezekana
Mar 04, 2020 04:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran inafanya juhudi kubwa za kuhakikisha kuwa, athari mbaya za virusi vya corona zinapungua ndani na nje ya Iran kadiri inavyowezekana.
-
Watu 435 walioambukuzwa Corona nchini Iran wapona
Mar 04, 2020 01:02Naibu Waziri wa Afya wa Iran Dkt. Alireza Raisi amesema hadi sasa watu 435 waliombukizwa ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona wamepona na wamepewa ruhusa ya kuenda nyumbani kutoka hospitali.
-
Ukosoaji wa Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Mihadarati ya Iran kwa utendaji wa kindumakuwili na kisiasa katika vita dhidi ya madawa ya kulevya
Mar 03, 2020 23:18Brigedia Jenerali Eskandar Momeni, Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Mihadarati nchini Iran amekosoa utendaji wa kindumakuwili na wenye matamshi ya kisiasa katika uga wa ushirikiano wa kibinadamu vikiwemo vita dhidi ya madawa ya kulevya.
-
Kiongozi Muadhamu atoa maelekezo kuhusiana na vita dhidi ya virusi vya Corona
Mar 03, 2020 08:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na baada ya kupanda miti miwili ya matunda kwa mnasaba wa Siku ya Miti na Wiki ya Maliasili nchini Iran, ametoa maelekezo muhimu kuhusiana na mradhi yaliyoenea ya COVID-19 yanayosababishwa na virusi vya Corona humu nchini Iran.
-
Zarif akosoa ukatili na ghasia zilizopangwa dhidi ya Waislamu India
Mar 03, 2020 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalaani vikali ukatili na ghasia zilizoratibiwa dhidi ya Waislamu nchini India, akisisitiza kuwa njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo ni kufuata sheria na mazungumzo ya amani.
-
Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu kusainiwa mapatano baina ya Marekani na Taliban
Mar 02, 2020 22:53Iran inaunga mkono tukio lolote ambao litasaidia kuleta amani na uthabiti nchini Afghanistan na inaunga mkono jitihada zitakazoongozwa na Afghanistan ili kufikia lengo hilo.
-
Waathirika 291 wa virusi vya Corona wapona nchini Iran
Mar 02, 2020 10:13Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran imetangaza kwamba hadi sasa watu 291 waliokuwa wameathirika na virusi vya Corona wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.