-
Sheikh Naim Qassem ahani msiba nyumbani kwa Kamanda Soleimani; asema mapambano yataendelea kwa nguvu zaidi
Jan 05, 2020 10:56Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amesema kuwa ni wazi kuwa njia na mstari wa mapambano utaendelea kwa nguvu zaidi kufuatia kuuliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na wenzake aliokuwa amefuatana nao.
-
Rouhani: Marekani italipa gharama kubwa ya kumuua shahidi Soleimani
Jan 05, 2020 04:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani itabeba dhima ya matokeo mabaya na radimali za kuuliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi la Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) na kusisitiza kuwa, Washington italipa gharama kubwa ya ugaidi wake huo.
-
Marekani itabeba dhima ya chochote kitakachotokea baada ya kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jan 05, 2020 04:10Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al Mohandes, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq (Al Hashd al Shaabi) pamoja na watu wengine 8 waliuawa shahidi mapema Ijumaa 3 Januari 2019 katika hujuma ya angani ya jeshi vamizi na la kigaidi la Marekani karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad.
-
Taathira za kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis
Jan 05, 2020 00:58Usiku wa manane wa kuamkia juzi Ijumaa Januari 3 viongozi wa Marekani walitekeleza kitendo cha kijinai na kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al Muhandis Naibu Mkuu wa kundi la wapiganaji wa kujitolea wa Iraq (Hashdu al Shaabi).
-
Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani wawasili Iran ya Kiislamu
Jan 05, 2020 01:36Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Haj Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) umewasili katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo asubuhi katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Ahwaz kusini mwa nchi.
-
Salami: Marekani itajuta kumuua kigaidi Luteni Jenerali Soleimani
Jan 05, 2020 01:22Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Luteni Jenerali Qassem Soleimani alikuwa mpangaji wa mikakati iliyopoelekea Marekani ipate hasara za kistratijia na kuongeza kuwa: "Kuuawa kigaidi Jenerali Suleimani ni mwanzo wa kumalizika uwepo wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi."
-
Jenerali wa Marekani: Iran ina mbinu nyingi na hatari sana za kupambana na Marekani
Jan 04, 2020 13:35Barry McCaffrey, Jenerali wa Zamani wa Jeshi la Marekani amekiri kwamba Wairan wana mbinu nyingi na hatari sana za kijeshi kwa ajili ya kupambana na Marekani.
-
Dakta Zarif: Uingiliaji wa vikosi vya kigeni ndio sababu ya kuongezeka mivutano katika eneo
Jan 04, 2020 10:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki kuona kunakuweko mivutano katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kwamba, uwepo wa vikosi vya kigeni na vya nje ya eneo hili ndio sababu ya ukosefu wa amani na usalama na chimbuko la kuongezeka migogoro katika eneo hili.
-
Sheikh Zakzaky: Kuuawa shahidi Qassim Soleimani kutaimarisha zaidi ari ya mapambano
Jan 04, 2020 09:50Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) na Naibu Mkuu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq, al-Hashdul al-Shaabi, Abu Mahdi al-Muhandes kutapelekea kuimarika zaidi ari na moyo wa mapambano.
-
Kamisheni ya Bunge: Marekani itarajie kisasi kikali kwa hatua yake ya kumuua Qassim Soleimani
Jan 04, 2020 09:44Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni katika Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa, Marekani mtenda jinai isubirie kisasi kikali dhidi yake kutokana na hatua yake ya kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH).