-
Marekani na utumiaji wa viza kama wenzo wa mashinikizo dhidi ya washiriki katika vikao vya UN
Sep 19, 2019 06:57Marekani ambayo ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York daima imekuwa ikitumia suala la kutoa viza kwa jumbe na maafisa wa nchi mbalimbali wanaotaka kushiriki vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kutoa mashinikizo dhidi ya nchi zinazopinga sera za kibeberu za nchi hiyo.
-
Adhama ya Matembezi ya Arubaini kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi
Sep 18, 2019 20:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, Matembezi ya Arubaini ni kitu kisicho na mfano na cha ulimwengu mzima na msingi wa kueneza mafundisho ya Imam Husseini (as) na kuasisi ustaarabu mpya wa Kiislamu.
-
Iran yakanusha madai ya kuhusika na mashambulizi ya Aramco, Saudia, yaitahadharisha Marekani
Sep 18, 2019 07:52Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga tuhuma za wakuu wa Marekani kuwa eti Iran ilihusika katika mashambulizi yaliyolenga kituo kikubwa cha kusafisha mafuta cha Aramco nchini Saudi Arabia na kusisitiza kuwa: "Hakuna ushahidi, nyaraka wala dalili zilizowasilishwa na yote yanayosemwa ni madai tu."
-
Rouhani: Mapambano ya mataifa ya eneo ni mwenge usioweza kuzimwa
Sep 18, 2019 07:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema muqawama na mapambano ya mataifa yaliyoamka ya eneo ni mwenge usioweza kuzimwa na kusisitiza kuwa: " Jibu la Wayemen ambalo ni onyo linapaswa kuwa somo kwa maadui wa eneo ili wasitishe vita katika eneo."
-
Kiongozi Muadhamu: Matembezi ya Arubaini yanaendelea kuchukua sura ya kimataifa
Sep 18, 2019 07:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, matembezi ya Arubaini yanaendelea kuchukua sura ya kimataifa na kuongeza kuwa: "Ujumbe wa Imam Hussein AS ni wa kuikomboa dunia kutoka katika utawala wa kambi ya ukafiri na uistikbari."
-
Zarif: Njia pekee ya utatuzi ni kukomeshwa vita dhidi ya taifa la Yemen
Sep 17, 2019 22:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa wito wa kuhitimishwa vita nchini Yemen.
-
Kuonana Rouhani na Erdogan mjini Ankara; mazungumzo na makubaliano ya kupanua mabadilishano ya kibiashara kwa sarafu ya taifa hadi ushirikiano wa kiulinzi na kiusalama
Sep 17, 2019 22:09Uhusiano wa Iran na Uturuki daima umekuwa wa kirafiiki na kidugu na serikali mbili na wananchi wa mataifa haya, wamekuwa pamoja na bega kwa bega katika mazingira tofauti.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Hayatafanywa mazungumzo na Marekani katika ngazi yoyote ile
Sep 17, 2019 03:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kauli mpya zilizotolewa na Marekani kuhusu mazungumzo na akasisitiza kwamba: Viongozi wote wa Jamhuri ya Kiislamu wanakubaliana kwa kauli moja kuwa, hayatafanywa mazungumzo na Marekani katika ngazi yoyote ile.
-
Iran: Rais Rouhani hana mpango wowote wa kukutana na Trump
Sep 16, 2019 22:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali uwezekano wowote wa Rais Hassan Rouhani kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika mkutano ujao wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Mousavi: Kupunguza Iran uwajibikaji wake katika JCPOA kunaendelea katika fremu ya makubaliano hayo ya kimataifa
Sep 16, 2019 09:05Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuendelea Tehran kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kunafanyika katika fremu ya makubaliano hayo ya kimataifa.