-
Zarif asisitiza juu ya kushindwa siasa za Marekani
Sep 15, 2019 22:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa mgogoro wa Yemen utamalizika iwapo njia za ufumbuzi zilizopendekezwa na Iran zitakubaliwa.
-
Mousavi: Mashinikizo ya Kiwango cha juu ya Marekani yamegeuka kuwa uongo wa kiwango cha juu
Sep 15, 2019 08:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai ya uongo ya viongozi wa Marekani na kusema kuwa, mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani hivi sasa yamegeuka kuwa uongo wa kiwango cha juu kabisa.
-
Iran: Uchu wa madaraka wa 'Hitler mdogo' chachu ya kuangamizwa mapema Israel
Sep 15, 2019 03:19Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amemtaja Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, kama 'Hitler mdogo' na kusisitiza kuwa uchu wa madaraka wa Benjamin Netanyahu utakuwa mwanzo wa kuporomoka na kusambaratika utawala huo haramu.
-
Iran iko tayari kutuma misaada kwa raia wa jimbo la Kashmir
Sep 14, 2019 22:07Mkuu wa Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewaandikia barua mbili tofauti wakuu wa Hilali Nyekundu ya Pakistan na mkuu wa Shirika la Msalaba Mwekundu la India, akiwataarifu habari ya Iran kuwa tayari kutuma misaada ya kibinaadamu kwa wakazi walioathirika wa jimbo la Kashamir.
-
Sekta ya mafuta ya Iran inaendelea kustawi licha ya vikwazo vya Marekani
Sep 14, 2019 07:09Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sekta ya mafuta na gesi ya taifa hili inaendelea kustawi na kuimarika licha ya vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.
-
Iran na Kyrgyzstan zatiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa kiusalama
Sep 14, 2019 03:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kyrgyzstan zimetiliana zaidi makubaliano ya kushirikiana katika masuala ya usalama.
-
Abu Turabi Fard: Muqawama wa wananchi Mashariki ya Kati chimbuko lake ni mafunzo ya Ashura
Sep 13, 2019 07:49Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria muqawama na kusimama kidete wananchi wa Syria, Lebanon, Iraq, Bahrain na Yemen mbele ya Waistikabari na kusisitiza kuwa, muqawama wa wananchi wa eneo la Mashariki ya Kati chimbuko lake ni somo la Ashura na harakati ya Imam Hussein AS.
-
Marekani: Sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran zitaendelea
Sep 13, 2019 03:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema, mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yataendelea.
-
Meja Jenerali Salami: Mashinikizo ya maadui hayawezi kuipigisha magoti Iran
Sep 12, 2019 22:08Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, taifa la Iran limedhihirisha kuwa lina nguvu kuliko vikwazo na katu haliwezi kupigishwa magoti na mashinikizo ya maadui.
-
Rouhani: Mazungumzo na Marekani chini ya kivuli cha vikwazo, hayana maana
Sep 12, 2019 02:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu ya mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron akisisitiza kuwa, Marekani imekacha kutekeleza majukumu yake kwa kujiondoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA na kwamba, kwa mujibu wa mtazamo wa Serikali, Bunge na taifa la Iran, kufanya mazungumzo na Marekani chini ya kivuli cha vikwao hakuna maana yoyote.